dstv

  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Lameck Ditto achemka madai ya bilioni 6 dhidi ya DStv, Mahakama yasema ilitumika 'second version' na si 'original' yake

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya Kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DStv, uamuzi ambao haujaacha kicheko kwa mlalamikaji. Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bwakeya alifungua kesi ya madai mahakamani hapo...
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Huba Series ndani ya maisha bongo dstv - imekosa mvuto kwa story zisizo na uhalisia katika mazingira ya kawaida

    Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home, Kuna hii Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa pili sasa Na enjoy Dstv bure mahali popote kwa kutumia internet.

    Nimeifuta watu wanaweza kui abuse, nashukuru hata walioiona ni wachache
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  5. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kuunganisha DStv ya kwenye simu kwenda kwenye TV?

    Habari ndugu, Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuunganisha DStv now ya kwenye simu kwenda kwenye TV ili kuangalia mpira?
  6. Vicenza

    JamiiForums Tanzania Kupungua quality ya picha dstv nini tatizo

    Jana nimegundua quality ya tv imekuwa chini sana nikiwa nachek tbc na itv ,startv,sio kawaida nikajua labda ni tv yangu inashida,nikaona ngoja niende Kwa jiran kuangalia Ili nipate uhakika,nikabaini kumbe tatizo lipo pia Kwa jiran ,ila ukiingia Youtube quality IPO vizuri sana,na wote tunatumia...
  7. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Wizi na ufisadi unaonaofanywa na dstv. Serikali mtusaidie wanyonge kwa kuondoa ukiritimba.

    Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
  8. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dishi lipi zuri kwa matumizi?

    Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
  9. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Unafurahia channel zipi za DSTV?

    Wakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako. Nawasilisha
  10. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Canal+ mbioni kuimiliki DSTV

    Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni hiyo kinara barani Afrika yenye wateja takribani millioni 22, ikiwa imetapakaa Karibu maeneo yote ya...
  11. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you may call me fanatic but football ndio ulevi wangu, DStv vifurushi daily vinapanda kwa uchumi ulivyo...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

    Kuna ujumbe nimeuona huku kupitia DStv, kifurushi cha Compact kitapanda na kuwa tshs 64,000/= kwa mwezi kutoka tshs 60,000. Sijajua kww upande wa vifurushi vingine. Tumeipenda wenyewe, wacha tuisome namba eeeehhh….
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kuona Engagement ya Manara DStv ni Tsh 10,000

    Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye channel ya MAISHA MAGIC watalipia kifurushi cha shilingi elfu 10. Kwenye mahojiano mafupi ya wawili...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chaneli gani DSTV zinaonesha mechi za AFCON 2024?

    Channels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

    Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
  16. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida! Mimi Binafsi siwezi...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dstv yaondoa channel ya Emmanule Tv ya TB Joshua

    Kampuni ya televisheni ya Afrika Kusini ya Multichoice Africa imetangaza kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV, kituo cha kidini inayomilikiwa na marehemu Nabii Temitope Babatunde Joshua, mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations, kuanzia Januari 17, 2024. Uamuzi huo unafuatia...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi visivyojulikana tishio kwa DSTV na Azam

    Kuna vifaa vingi vinavyoingia tanzania kwa vile wapo sababu ya kukusanya pesa ndani ya chama ila ndio tatizo. Niliagiza ving'amuzi ambacho unalipa kwa mfumo wa crypto kinafanya channel zote dstv na azam ili mradi tu kuwa na dishi yenye masafa uweelekeo. bado nasisitizia dola tutaisikia mtaani
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne. Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo. Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
Back
Top Bottom