Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo.
Makaburi yamekuwa sehemu ya kutupia taka tena zinajaa kiasi cha kufunika baadhi ya Makaburi.
Tumejaribu kufikisha...
Habari wakuu,
Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa,
Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A.
Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana, hivyo nahitaji chumba kimoja cha kawaida tu Dodoma mjini.
Kiwe Self contained,
Usalama mkubwa...
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000
Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000
Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000
Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo...
Awali, vyuo vya afya na tiba shirikishi vya City Colleges vilivo sajiliwa na NACTEVET kutoa kozi za afya kwa ngazi za astashahada na stashada ikiwemo Kigamboni campus, Temeke & Mikwambi csmpus, Mwanza na Arusha Campus, wamiliki wake ni makada wa ccm akiwemo Abubakari Ali(Boka aliyejitokeza...
Alitumia babu mpaka MJUKUU
Halafu wewe upo zako huko maporini unajiita mwana ccm, au upo zako jf hapa unafanya chawaring unajikuta kijani damu!,
CCM INAWENYEWE .
Nawenyewe ndio sisi 😎
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa hivi karibuni litaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) katika miji, hususan Dar es Salaam, kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali yenye lengo la kupunguza changamoto za usafiri mijini.
Baada ya kusoma taarifa hii, nimekuwa...
Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Dodoma.
🗓️Desemba 11, 2025.
Watu watano ambao ni madereva bodaboda wamefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na lori lililofeli breki eneo la Dodoma Makulu jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Lori lilikuwa linatokea kwenye barabara inayotokea Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) ambapo lilifeli breki na kwenda kuparamia Kijiwe...
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama.
Vipi hali huko mitaani wakuu?
Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima,
Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
TANGAZO: FUNDl UMEME WA MAGARI
Unahitaji fundi umeme wa magari?
Nipo tayari kukuhudumia kwa weledi na kwa wakati!
Huduma ninazotoa:
🔧 Uchunguzi wa matatizo ya umeme (diagnosis)
🔧 Kurekebisha na kufunga starter & alternator
🔧 Kurekebisha mifumo ya taa za gari
🔧 Programu na ufungaji wa computer...
Kuna watu wamevurugwa kinoma!
==========
Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha makaburi hayo.
Kuna hii video ya huyu dada anatokea huko Marekani anadai kwamba moja ya msanii kutoka Tanzania alipaswa kufanya show weekend hii lakini show hiyo imebuma kabisa kutoka na Raia wa Tanzania wanaoishi huko Marekani kucancel tekiti na wale walinunu kuzichana.
Na kuwataka wasanii hao wakapige show...