PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.

Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

IMG-20251117-WA0321.jpg

IMG-20251117-WA0319.jpg

IMG-20251117-WA0320.jpg

IMG-20251117-WA0318.jpg
1763447314280.jpeg
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekabidhiwa rasmi Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.

📍 Dodoma-Tanzania
🗓️ Novemba 17, 2025
 
Attachments

  • VID-20251117-WA0422.mp4
    6.6 MB
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.

Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

kama alikuwa hajakabidhiwa ofisi alienda kufanya nn kule hospitalin?
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
1763634897454.png

Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

1763634954337.png
 
Back
Top Bottom