dodoma

  1. N

    JamiiForums Tanzania ‘Kila hatua MIXX’ yazinduliwa Dodoma

    KAMPUNI ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za kifedha za kidigitali kwa kuzindua kampeni ya Kila Hatua Mixx jijini Dodoma. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa Kanda ya Kati wanapata nafasi sawa ya kushiriki katika uchumi wa...
  2. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Sunset somehow in Dodoma

    What a view
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  4. Ushirombomoya

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa ofisi ya ardhi Dodoma Jiji na mikoa mingine.

    Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika. Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa nashawishika kununua maeneo yaliyopimwa. Nilifanikiwa kununua eneo Dodoma (mtumba) na kufanya malipo...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mnaochimbiwa visima Dodoma mnapigwa sana. Ni ngumu sana visima vyenu kudumu miaka zaidi ya mitano!

    Wimbi la makampuni feki yake kuchimba visima jijini Dodoma (na mikoa mingine) limekua kwa kasi sana, kutokana na changamoto ya maji na kasi ya ukuaji wa mji. Sasa kushindana bei, wengi wao wasiowaaminifu wameanza uhuni na ujanja ujanja, ambao madhara yake hayataonekana ndani ya siku 2 au mwaka...
  6. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kinauzwa Kizota Dodoma. Anayehitaji tuwasiliane

    Kiwanda Kinauzwa Kiwanda kinauzwa kikiwa Kizota, Dodoma. Ukubwa wa kiwanja ni 3,770 sqm, eneo lipo sehemu nzuri na linatoa fursa mbalimbali za uwekezaji. Bei ni bilioni 2, na maongezi yapo kulingana na makubaliano. Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia picha zitakazofuata au tuma ujumbe mfupi...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Jengo linauzwa, mali ipo Dodoma kisasa, bei ni billion 1.2 pesa ya Tanzania

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  8. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,ipo kisasa dodoma, bei ni billion 1.2 0758844717

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Dodoma zote ni masikini

  10. abyeke

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi mkoani Dodoma

    Kwa majina naitwa Edgar nimehitimu mwaka huu diploma in procurement, naelewa elimu yangu ndogo na huku ground kugumu kwahyo nahitaji kazi yoyote niko tayari kufanya nipate pesa nikaendelee na kusoma bach.. Napatikana humu 0610816834
  11. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yahudumia Wananchi 1,981 Maonesho ya Nanenane 2025 Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981. Huduma zilizotolewa na MOI zilihusisha uchunguzi wa awali (Screening), ushauri wa kitaalamu kuhusu matatizo ya mifupa...
  12. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Yustino Nduga wafika nyumban kwake dodoma, kuagwa kesho bungen dodoma na kupelekwa kuzikwa kongwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mwili wa aliyekuwa spika msatafu wa bunge la Tanzania umewasili leo nyumban kwake dodoma, huku vilio vikitawala zaidi Apumzike kwa aman =============== Vilio na simanzi, Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

    Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Joseph Goebbels wa awamu ya tano aliyesimamia sera za kuua demokrasia, accomplice kwa majanga ya Lissu Dodoma

    Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels. Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa, Agosti 8, 2025 Dodoma

    Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n ============= Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia azindua Maabara Kuu ya Kilimo Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Maabara Kuu ya Kilimo ya Taifa (National Laboratory Centre) mkoani Dodoma, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha tija, ubunifu na utafiti katika sekta ya kilimo Mradi huo wa kimkakati uliozinduliwa siku ya Ijumaa Agosti...
  17. Bibianna

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tanzania hupoteza shilingi bilioni 20 kwa kuagiza Tani milioni 10 za mchuzi wa zabibu kila mwaka | Sasa kiwanda kikubwa kujengwa.

    Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango akisimika mche wa mzabibu kama ishara ya Kuwepo kwa Kiwanda Kipya cha kusindika zabibu Mkoani Dodoma. Cghini ya Rais Samia, Kiwanda cha kusindika zabibu kilichopo Chinangali II, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimejengwa kwa gharama ya Shilingi bilioni 2.1...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini barabara ya Bahi Road Dodoma haina taa za usiku?

    Serikali ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliangalie hili la Ukosefu wa taa za usiku barabara ya bahi road kipande cha machinga complex mpaka 4ways ni hatari sana kwa watumia vyombo vya moto na watembea kwa miguu Lile tuta la katikati ya barabara halionekani nyakati za usiku magari mengi...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua gharama ya ndege binafsi iliyomtoa Lissu Dodoma mpaka Nairobi baada ya kushambuliwa na risasi ili tujue ukweli

    Kuna MTU amesema ndege ya kumsafirisha lissu ilikuwa in a we za kuwa $9200 Kwahiyo ndo hiyo pesa , ndo Tibaijuka na Ndugai ,pamoja na Chadema ndo wanasema hawakuwa nayo ?..
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Watumishi Magereza 1611 wapewa majiko ya gesi

    Katika utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umegawa majiko na mitungi ya gesi kwa Maofisa na Askari wa Jeshi la Magereza katika mikoa 14 nchini ili kulinda afya zao kwa kuwaondoa kwenye matumizi ya kuni na mkaa. Akizungumza...
Back
Top Bottom