Dodoma: Wezi wavamia makaburi na kuiba clips vigae

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kuna watu wamevurugwa kinoma!
==========
Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha makaburi hayo.

Kwakuwa kiranja mkuu ni mwizi. Tegemea wizi kuongezeka.
 
Eh watu mnapendezesha hadi makaburi, watu mpo serious sana aisee 🙌
 
Kuna watu wamevurugwa kinoma!
==========
Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba clips zinazoshikilia vigae vilivyowekwa kuimarisha na kupendezesha makaburi hayo.
Police hao, waliiba sadaka sembuse makaburini
 
Back
Top Bottom