Walikuponda Dodoma, sasa hivi wamejifungia huko!

Walikuponda Dodoma, sasa hivi wamejifungia huko!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,794
Reaction score
18,725
Mwanzoni walikuwa kejeli kibao kila siku wako dar na kupaponda dodoma, mara sijui kukame, mara jangwani, hakuna chochote mambo yote dar, na kweli mambo yote yalikuwa dar.

Cha ajabu siku hizi Dar hatuwaoni tena wamejifungia Dodoma city, imekuwaje tena wakati mlikuwa mnapaponda? hata kuapishana siyo mkapa stadium tena, bali ni dodoma city, Dodoma ghafla imegueka lulu, sasa mnaona akili kubwa wa Mlm Nyerere? je, ninyi mngeweza kuwa na akili kama hiyo ya kufanya jambo lolote ambalo lingeweza kuwafaa wengine zaidi ya manufaa yenu binafsi?

Sasa hivi wote mko huko Dodoma city, Dar inakimbiwa, na je, hizo hoteli mlizosema dodoma hakuna za kuweka wageni sasa hivi zimeshajengwa? acheni hizo ...
 
mwanzoni walikuwa kejli kibao kila siku wako dar na kupaponda dodoma, mara sijui kukame, mara jangwani, hakuna chochote mambo yote dar, na kweli mambo yote yalikuwa dar.

cha ajabu siku hizi dar hatuwaoni tena wamejifungia dodoma, imekuwaje tena wakati mlikuwa mnapaponda? hata kuapishana siyo mkapa stadium, bali dodoma, dodoma ghafla imegueka lulu, sasa mnaona akili kubwa wa Mlm Nyerere? je ninyi mngeweza kuwa na akili kama hiyo? sasa hivo wote mko huko dodoma, dara inakimbiwa ...
Huwa wanaenda na kurudi, some bado wanaishi dar na familia zipo dar, ila wanakuja kufanya kazi na kurudi

Sio kwamba wanapapenda, leo hii waambie tu ni hiari upne kama hawatosepa wote
 
Huwa wanaenda na kurudi, some bado wanaishi dar na familia zipo dar, ila wanakuja kufanya kazi na kurudi

Sio kwamba wanapapenda, leo hii waambie tu ni hiari upne kama hawatosepa wote

siyo hao wadogo, naongelea big boss wao na clique nzima, iko dodoma tangia uchaguzi sijawaona dar, hata uapisho mbwembwe za Mkapa stadium sikuziona ...
 
mwanzoni walikuwa kejeli kibao kila siku wako dar na kupaponda dodoma, mara sijui kukame, mara jangwani, hakuna chochote mambo yote dar, na kweli mambo yote yalikuwa dar.

cha ajabu siku hizi dar hatuwaoni tena wamejifungia dodoma city, imekuwaje tena wakati mlikuwa mnapaponda? hata kuapishana siyo mkapa stadium tena, bali ni dodoma city, dodoma ghafla imegueka lulu, sasa mnaona akili kubwa wa Mlm Nyerere? je, ninyi mngeweza kuwa na akili kama hiyo ya kufanya jambo lolote ambalo lingeweza kuwafaa wengine zaidi ya manufaa yenu binafsi?

sasa hivi wote mko huko dodoma city, dar inakimbiwa, na je, hizo hoteli mlizosema dodoma hakuna za kuweka wageni sasa hivi zimeshajengwa? acheni hizo ...
Hata hiyo Dodoma wanatembea na Maaskari kama 100
 
Huwa wanaenda na kurudi, some bado wanaishi dar na familia zipo dar, ila wanakuja kufanya kazi na kurudi

Sio kwamba wanapapenda, leo hii waambie tu ni hiari upne kama hawatosepa wote
Wako Dodoma kwa Usalama wao na Serikali zaidi..

Kama Samia Angekuwa Dar tarehe 29, basi....
 
Mwanzoni walikuwa kejeli kibao kila siku wako dar na kupaponda dodoma, mara sijui kukame, mara jangwani, hakuna chochote mambo yote dar, na kweli mambo yote yalikuwa dar.

Cha ajabu siku hizi Dar hatuwaoni tena wamejifungia Dodoma city, imekuwaje tena wakati mlikuwa mnapaponda? hata kuapishana siyo mkapa stadium tena, bali ni dodoma city, Dodoma ghafla imegueka lulu, sasa mnaona akili kubwa wa Mlm Nyerere? je, ninyi mngeweza kuwa na akili kama hiyo ya kufanya jambo lolote ambalo lingeweza kuwafaa wengine zaidi ya manufaa yenu binafsi?

Sasa hivi wote mko huko Dodoma city, Dar inakimbiwa, na je, hizo hoteli mlizosema dodoma hakuna za kuweka wageni sasa hivi zimeshajengwa? acheni hizo ...
Kuliko ujenge hoteli dodoma au apartment nenda kajenge arusha au manyara, au mwanza
 
Back
Top Bottom