Habari!
Kwa wanaoishi maeneo ya Makuru hapa Dodoma, naomba kujua Kama ni kunafaa kwa biashara ya pombe kali kama konyagi, k vant, blak Gn na kuendelea za kupima lakin, je hilo eneo linafaa kwa biashara hio?
Au Kuna biashara tofauti inayofaa zaidi eneo hilo?
ASANTE[emoji1616]