Nina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za ofisi zimefungiwa hawajalipa bill muda mrefu, nimetuma email zimekuwa rejected kwa maana email hizo...