diamond platnumz

  1. H

    Mr flavour wa Nigeria aomba media za Nigeria zimpe heshima inayostahili Diamond Platnumz

    Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
  2. K

    Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

    Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021. Source:SnS.
  3. Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  4. A

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  5. Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

    Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu...
  6. Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music

    Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music Facebook Twitter Email The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical landscape, success, expanding his empire and more CHRISTOPHER A. DANIEL GRAMMYS OCT 6, 2020 - 1:36 PM When...
  7. Kwanini kila siku ni Diamond Platnumz hawa wengine hamuwaoni?

    Baba lao (Diamond)-kushoto kulia (harmonize) Mdogo mdogo (Diamond)-mpaka kesho (harmonize) Wezele (rich mavoko)-on the low (burnaboy) full video Niwahi (rich mavoko)-je utanipenda (Diamond) kwenye onesho la fashion Na nusu (Nandy)-tip toe (jason darulo) Scene ya wacheza kareti. Alele...
  8. H

    Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

    Habari nzuri, Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys. Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond. Tumekuwa...
  9. Wimbo mpya: Alicia Keys Ft Diamond Platnumz

    Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz...
  10. New music audio Zuchu ft Diamond Platnumz

    Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema "Tena wasipoteze muda kwa kura zao za kata,mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata." All in all nyimbo ni nzuri
  11. Hatimaye amepanda, Magufuli amvulia kofia Diamond Platnumz

    Rais Magufuli aliamua kumvulia na kumvisha kofia yake Diamond Platnumz simbaaa baada ya performance yake katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza. Ila kijana wetu anaadabuu, mara baada ya kuitwa jukwaa kuu alienda anakimbia 🤣🤣🤣 Diamond platnumz simbaaa baba lao rais halali wa muziki Tanzania.
  12. Ombi: Dewji ungana na Diamond Platnumz muanzishe Wasafi Football Club

    Namshauri Mo Dewji ashirikiane na Diamond Platnumz kuunda timu ya Wasafi Football Club. WASAFI ni blrnd yenye nguvu sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Wasafi media imepata mashabiki lukuki katika kipindi kifupi tangu kuanzishwa kwake ikizipita media kongwe katika mitandao ya...
  13. Diamond Platnumz ni kweli ahadi kedekede unazotoaga kwa watu huwa unatimiza? Ni bora ukaacha mambo hayo ya ajabu kama ni ngumu kutenda

    Msanii wetu SIMBA namkubali sana sasa tatizo lake anapenda kukurupuka sana pale mafuraha ya kutoka pasipojulikana yanapo mvaa na kutangaza ma- ahadi tele kila mahali online, na hata live Wasafi TV/Radio kuwa atatoa mara hiki mara kile kwa jamii. Na mara chache sana huvitimiza anavyosema ni kama...
  14. Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha ilo nadhani ilikuwa pigo kwa mashabiki zake ambao walienda kutaka kumuona. Je, aliogopa wasanii...
  15. Diamond Platnumz amsifia Kusaga

    Kupitia wewe nimejifunza na naendelea kujifunza vingi. Asante kwa kuendelea kusupport Vijana. Asante kwa njia ya Sanaa uliyoichonga, Sasa inakomboa Vijana wengi mtaani.. @Josephkusaga
  16. New Video: Rayvanny ft Diamond Platnumz- Amaboko

    Nyimbo ya Amaboko imeshawekwa YouTube na Views Wanazidi kupanda tu, Nami najiandaa hapa nikanunue Shuka la kimasai nivae Kama Laizer vile,😂
  17. Jamaa yangu na life style kama Diamond Platnumz

    Wakuu Habari za saa hizi! Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea. Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa yangu ni kwamba anamkubali kinyama sana Diamond sio nyimbo, mavazi, mpaka kuwa na watoto, just...
  18. Homa ya TV E: Lini Diamond platnumz atatumbuiza Jukwaani

    Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima, Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je? Zamu yake haijafika au ndo vile kuna kabifu hapo katikati ama vipi? Wakuu mkimwona siku mnitag...
  19. A

    Nahisi Diamond Platnumz sio Mtanzania, body language presence anayoonesha kwenye video zake, sio style za kitanzania ni style za ki-west Africa hivi

    Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali ya juu sana, pale anapoanza kuimba "Eeh mama kasema mwali mwana, umepata ntuliee simba, ntuliee...
  20. Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

    Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki wa Tanzania @Diamondplatnumz Makala hiyo imeandikwa "Wanamuziki wa Marekani wanatafuta njia za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…