dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

    Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
  2. Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  3. Pipi kijiti ni starehe katili ya wanaume dhidi ya wanawake

    Ndugu salaam Sisi wanaume tumekua tukiwapa wanawake pipi kijiti (lolipop) kama njia ya kuridhika na ombi lao la kusamahewa ili hali tunajua kabisa ni starehe ovu na ya kikatili dhidi ya wanawake. Japo wengine wanawadangañya wadada kula pipi kijiti ni njia moja wapo ya kuonyesha mapenzi ya...
  4. MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  5. GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  6. GE2025 Kesi ya Said Issa dhidi ya CHADEMA yaahirishwa hadi Septemba 10, 2025; nyaraka za mali na fedha zaombwa Mahakamani

    Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama hicho imeendelea tena leo, Alhamisi Agosti 28.2025 Mahakama Kuu ya...
  7. A

    KERO Takwimu na hatua dhidi ya ajali za barabarani

    Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua...
  8. Hoja za Bawacha dhidi ya Polepoke zina mashiko sana

    Nimependa Sana hawa wanawake wa Chadema wapo na hoja nzito Sana. Pole pole aje atuambie aliyempiga risasi Lissu ni nani.
  9. Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  10. Ni Tanzania dhidi ya Morocco 🇲🇦 kesho halafu Mwanetu DAHANE kapewa tena mechi ya kesho Wanangu😀

    TUPE R A HA YANGA DEHANE WETUUU KARIBUHUH SANAAA BWM ULITUKIMBIA UKAENDA AMAN NW TUNAKUKARIBISHA SANAA SANAAA
  11. Nawakumbusha tu wana Simba SC kuwa Mshambuliaji tunayemtegemea katika Mechi yetu ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC hatocheza kabisa

    Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida. Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii. Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
  12. “Kuamka” kwa Raimondo na ugonjwa sugu wa kisiasa wa Marekani dhidi ya China

    Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo wake mgumu dhidi ya China wakati alipokuwa madarakani. Mabadiliko haya makubwa yameonesha ugonjwa sugu...
  13. Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  14. H

    Kinachoendelea Dhidi Ya Lisu Ni Mwendelezo wa Uharamia wa Wakati Wote, Sawa Walivyotendewa Waliouawawa na Waliotekwa, Lakini Hakuna Kesi.

    CCM na watawala waovu wameendelea na uovu wao dhidi ya haki. Anachofanyiwa Lisu na polisi, magereza, na mahakimu, na majaji mchongo, ni mwendelezo wa uovu ule ule aliofanyiwa Ali Kibao, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi. Ni mwendelezo wa uovu ule aliofanyiwa Baba wa Kiroho na Katibu wa Baraza...
  15. Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

    I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
  16. Sad news: Simba wakandwa na ENPPI ya Misri bao 4-3

    Simba SC imefungwa mabao 4-3 na ENPPI SC ya Misri katika mchezo wa pili kirafiki uliochezwa Jumapili, Agosti 17,2025 kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026. Mabao ya ENPPI SC mawili yalifunwa kwa penati, huku Simba SC ikifunga kupitia wachezaji wake Kibu Denis, Jean Ahoua, na Jonathan Sowah...
  17. H

    Maombi ya Serikali Kuweka Mikakati Madhubuti dhidi ya Unyanyasaji wa Wafanyakazi – Sektar Binafsi*

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini. Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
  18. K

    Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  19. M

    Mechi ya awali dhidi ya Williete Club De Benguela Yanga kuweni makini kule Angola sio kibonde ni timu iliyojiimarisha!

    Baada ya droo ya caf ccl nimeona niwaonye yanga wawe makini na wachukue tahadhali zote dhidi ya timu hii ya Wiliete club de benguela ya Angola kwani sio timu kibonde ni timu iliyosukwa vizuri na Iko timamu kweli kweli! Timu hii msimu uliomalizika 2024/2025 imemaliza nafasi ya pili kwenye...
  20. Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…