Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi.
Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo...
MBUNGE DUNSTAN KITANDULA - HEKIMA ZA VIONGOZI WETU ZILITUMIKA DHIDI YA MGOGORO
"Naiomba serikali yangu itusikie, walisaini document ya makubaliano lakini baada ya makubaliano hayo Bado kumekuwa na chokochoko za jeshi la ulinzi la Kenya kuingia kwenye maeneo yetu lakini wananchi wetu walipoingia...
Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi?
Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dearly kwa kukurupuka kwake...
Karma is real and her other name is a bitch, nawaza hivi hawq vichwa maji wenye Imani za Freemasons ni wapumbavu kiasi kwamba pamoja na uzee wao hawaoni umuhimu wa utengamano na mshikamano wa kitaifa.
Magufuli alihimiza sana maombi, akazikwa kwa kejeli, maiti ilizungushwa kwa kusherehekea, sasa...
Mnamo mwaka 2020 Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua alizindua makao makuu mapya ya kaunti hiyo. Jengo hilo jipya, ambalo linafananishwa na Ikulu ya Marekani - lilifunguliwa rasmi Jumatano, Mei 6, 2020 baada ya ujenzi wake kukamilika kwa gharama ya kiasi cha fedha Ksh. 350 milioni ambazo ni...
COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...
Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.
Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano.
Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.
Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
Kwanini umasikini unaendelea kuwa adui wa taifa? Ni vigumu kuupatia majibu ila kwa kuugawa maeneo mawili. Nayo;
a) chini ya mfumo wa chama kimoja 1961-1992: hapa umasikini ulipigiwa vita kwa kutumia falsafa ya ujamaa wa kujitegemea uliosimamia sera ya uchumi wa kisiasa kuchochea sekta ya kilimo...
Vs
Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume na Yule aliyefika Robo Fainali ya CAFCL namwona ni Mwanaume / Mtoto na kuna muda namwona kama Mtoto...
Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania.
Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Hivyo matokeo yoyote ya ushindi...
WIKI iliyopita, tukio lililotikisa anga za soka ni lile la kufungiwa maisha kwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora, Yusuf Kitumbo akituhumiwa kujihusisha na kupanga matokeo ya mechi za Ligi Daraja la Kwanza sambamba na kocha Ulimboka Mwakingwe.
Kitumbo ni kiongozi wa Kitayosce ambayo...
Wasalaam.
Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho.
Nawasilisha.
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe.
Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
Kutokana na ongezeko la watu duniani na shughuli za kiuchumi na kijamii, kelele zimeendelea kuongozeka kwenye makazi ya watu na maeneo ya biashara na hivyo kusababisha madhara mbalimbali kwa binadamu na mazingira. Madhara hayo ni pamoja na kupoteza usikivu (hearing loss); kuondosha utulivu...
Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa...
Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo.
Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...