dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nyie wazee 7, mnakaribia kurudi kwa Muumba wenu, achana na Unajisi wa kutenda dhambi kubwa. Tubuni dhambi na si kuongeza dhambi

    Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI. Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI. TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
  2. Yajue maneno maarufu yanayotumika kuhalalisha dhambi hasa ile ya uzinzi

    1. SLEEPOVER Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l. 2. ONE NIGHT STAND Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile. 3...
  3. Mwenye Dhambi Zake za Kuua Atahutubia Lini Bunge la 13?

    Ni ajabu, lakini si geni, kwamba dunia ya leo imejaa watu wanaotaka heshima bila toba, madaraka bila maadili, na sifa bila uhalali. Kila siku tunashuhudia wenye dhambi zao wale walioua kwa mikono yao au kwa maamuzi yao wakijitokeza mbele ya umma kama watakatifu wa kisiasa. Wamevaa suti safi...
  4. Mwamposa aambiwe ukweli kuwa maandamano si dhambi mbele za Mungu

    Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu! Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli. Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
  5. Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

    Jw ikajifanya kuwa nyuma ya wanachi,Wananchi Vichwa vikawaka,wakajua kuwa tunaowatetezi nyuma yao,kilichokea ni MASSACRE. Maelfu ya watu wameuawa ndani ya siku Nne tu.wakati Mama na genge lake wameua na kuteka watu zaidi ya Mia tatu kwa kipindi cha miaka miwili. wametumia muda mrefu ila matokeo...
  6. M

    Shetani apumzishwe tuache kumlaumu katika kila dhambi, vitu vingi tunafanya kwa hiari yetu wenyewe

    Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote, Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili. Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze...
  7. M

    Nampinga Mzee Mwandambo kwa mengi ila sina budi kukubaliana nae "hakuna dhambi kubwa kama umasikini"

    Huyo Msafwa wa Mbeya Clemence Mwandambo nampinga kwa vingi ila katika hili ana uzito Umasikini utakufanya utengwe hadi kanisani Ukiwa masikini sahau kuzikwa na maaskofu utazikwa na wasaidizi. Ukiwa masikini utatengwa na watu, ukiwasogelea wanahisi unataka kuwaomba hela. Ukiwa masikin huna...
  8. Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  9. H

    Watu Wote Mlio Wema, Msibariki Dhambi

    Watu wote tusipenda uovu, tunaomkiri Mungu wa Kweli, tujitenge kabisa na uchaguzi huu uliojaa uovu, unaotumika kuwahalalisha waovu. Hivi kuna mtu asiyejua ni nani anahusika na utekaji na mauji ya watu wanaokosoa maovu? Kuna mtu asiyejua ni chama gani kinahusika na huu uovu wa kuteka, kuua...
  10. HII DHAMBI YA.KUZINI KWA KUTAMANI TU INGEANGALIWA UPYA JAMAN HUKO KUZIMU KUTAJAA SIJUI MTAWAWEKA WAPI WENGINE.. 😆 😂 😆 😂 😆

    ushauri tu viongozi wa dini tuliangalie hili upya kama ukiwezekana kufanyia marekebisho iwe hivyo mapema maana kila Misa ya marehemu tunayoenda Kuala nikikumbuka hii dhambi sioni anaerobooaa naona wote mlemle otherwise huko.motoni kutajaa jaman niongeze sauti sijui?? UUshauii tu
  11. Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako 🚮🚮 Acha ngozi nyeupe...
  12. Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  13. Hamu ilo shinda zote. Dhambi iliyounganisha yote

    Raha ilioshinda walio "ishinda" dunia Raha iliowapiku walio "upiku" ulimwengu. Raha yenye uwezo wa kuumba na kuangamiza. Raha iliotengeneza mipaka mipya na kuharibu ya zamani. Raha iliofanikiwa kupenyeza na ku-disrupt akili ingawa kufunikwa na moja ya mifupa migumu kuliko yote mwilini...
  14. M

    Kama kiongozi mkristo akiwa mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi, akitubu dhambi zake anasamehewa basi tuna safari ndefu sana

    Nashindwa kuelewa labda mnielimishe, kwa ninavyojua kwenye ukristo dhambi zote zinasamehewa. Sasa akitokea kiongozi mtekaji, muuaji, mtesaji, fisadi anaeumiza na kuwaachia majoni watu wengi pamoja na umasikini. Je, toba hata kama ni ya kweli iliyotoka moyoni inatosha kufuta madhara ya dhambi...
  15. U

    Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  16. Eti inakuwaje kumpa mwenzako Raha iwe dhambi

    Eti jamani me nina swali.ninachokijua kumchukiza mtu,kumuumiza,kumkandamiza,kumnyanyasa ndo ilipaswa iwe dhambi ila eti kumpa mtu Penzi imekuaje ikawa termed kama dhambi?yaani kweli ufurahishe mtu iwe dhambi au tulipigwa na vitabu vya miongozo?
  17. Tazama, mwanakondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!

    [Yoh1:6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. [Yoh1:7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye. [Yoh1:8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. [Yoh1:19]Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma...
  18. Je CCM wanatafunwa na dhambi ya ubaguzi kwa wapinzani?

    Mwl Nyerere aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuiacha. Pia Mwalimu alisema kinachowafanya Watanganyika kusema sisi Watanganyika ni uwepo wa Wazanzabar, na kinachowafanya Wazanzibar kusema sisi Wazanzibar ni uwepo wa Watanganyika. Aidha Mwalimu alisisitiza...
  19. Dhambi 7 kuu

    leo hebu tujadili hizi dhambi saba ambazo ndio kama mizizi saba ya dhambi zote za ulimwengu huu...kwamba kupitia hizi ndio zao la madhambi yote unayojua na kuyafahamu hapa duniani Kwa mshangao wa wengi dhambi nyingi unazowaza si kati ya hizo saba.. Hebu tuzipitie moja baada ya nyingine 1...
  20. Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…