nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,062
- 15,134
Maneno haya nayasema nikiwa na confidence kwa maana yake nimeyafanyia utafiti kwa miongo kadhaa.
Nilichukua sample za watu tofauti nikiwemo mimi mwenyewe( kimsingi nilisha wahi kuishi maisha ya kihuni na matokeo yake nikayaona).
Lakini baada ya kuamua kubadilika na kuishi kiungwana pia matokeo yake niliyaona.
Nilipoacha ibada matokeo yake niliyaona na nilipofanya ibada matokeo yake niliyaona,
Nilipowaza negative matokeo yake niliyaona na nilipochukulia mambo positively pia matokeo yake niliyaona.
Chanzo cha yote ni ndani mwako unawazaga nini ndipo nje matokeo yake huonekana,,,,huzuni twaweza kuiona kupitia uso wako pia furaha twaiona kupitia uso wako..lakini furaha hiyo haitoki usoni bila moyoni...
Na hata maneno yakutokayo mdomoni mwako ni kile unachowazaga na kufikiri mara kwa mara.
Any way jaribu kufanya mema au angalau tu kuwaza mema kwa kiwango cha chini siku saba then njoo tupe mrejesho.

>>>>>ITAENDELEA>>>>>>