Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,388
- 7,549
Kwenye mechi inayoendelea sasa kati ya Dodoma Jiji na Simba Sc ikiwa simba hatopata goli na kufuzu kwenye haya mashindano nitatangaza rasmi kuachana na masuala ya mipira ikiwa ni kufatilia matokeo wala kuangalia zikiwa mubashara.
Uzuri ni kuwa hivi karibuni nimegundua kuwa mbinguni hakuna mpira na ni dhambi kubwa sana kujihusisha na masuala ya kidunia hasa soka.
Sasa inakaribia half time na mkumbuke simba hajawahi kupata goli hata moja kipindi cha pili.
Haiwezekani miaka 6 timu kubwa kama Simba haina kombe hata moja.
Wacha nitafute kazi nyingine za kufanya hata kuwekeza kwenye kilimo cha jembe la mkono au kuuzunguka ulimwengu nikiihubiri injili ya mungu
POVU RUKSA😎😎
ngara23