dereva

  1. K

    Natafuta Dereva wa Bajaj wa mtandaoni

    Habari wakuu, Natafuta dereva wa bajaji (sio wa gari)mwaminifu, mchapa kazi na Hana visingizio mwenye leseni hai ambaye ana akaunti hai ya bolt na Uber, mwenye uzoefu angalau mwaka mmoja na mkazi wa Dar na anayepaki maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho, Moroco, Mikocheni, Oysterbay au Masaki...
  2. Miss Zomboko

    Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

    Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano. Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa...
  3. T

    Kuna cha kujifunza hapa, inakuwaje dereva bodaboda ana kitambi na uzito mkubwa?

    Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu? Na haya ndio majibu Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda...
  4. J

    Dereva wa uber natafuta kazi

    Habari ndugu zangu Mimi ni dereva wa Uber natafuta gari ya kazi. Nina uzoefu wa Kazi zaidi ya miaka miwili ya Uber Nina account ya uber na bolt pia nina leseni class c pia gari iwe ya mkataba au hesabu niko teyari. Namba yangu ni 0624055653
  5. Idugunde

    Rais Magufuli: Niliwahi kuwa dereva wa teksi bubu

    Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange. Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki...
  6. Chizi Maarifa

    Rafiki yangu alitaka Tufe, Dereva wa Lorry akakubaliana naye, Mungu akamtumia Dereva mwingine Kutuokoa

    Mwaka jana Oktoba ni mwaka ambao kumbukumbu yake inanijia sana. Leo nimekumbuka zaidi baada ya kuonana ma Dereva mmoja anaitwa Richard. Siku hiyo nilikuwa na gari yangu kubwa ni ya Diesel Manual ina Speed 240. Tumetoka Dar na jamaa yangu tunaelekea Dom. Huku kote nlikuwa naendesha mimi mpaka...
  7. Stiffler88

    Wenye uzoefu na udereva wa Uber na Bolt, naomba kujua faida, hasara na changamoto zake

    Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
  8. dubu

    Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  9. D

    Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  10. Ack

    Madereva wa mijini hasa Dar (kwenye lami) vs madereva wa mikoani (rough road )

    Kuna watu hujiita ni madereva na wapo hapa mjini kweli kwa mjini wanatesa sana na wanaendesha vizuri na control wanayo, Lakini ukija kwenye madereva wa mikoani hasa wale wanaotumia barabara za rough kiukweli wana uzoefu mkubwa mno i mean next level, hii n kutokana na changamoto wanazokutana...
  11. M

    Dereva wa Basi mlilopanda mkiona anaendesha vibaya huku akiwaambia ataongeza Spidi zaidi hadi mkome jueni Maafa yanakuja

    "Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya ni afadhali waachie."- Rais Dkt. @MagufuliJP mkoani Kagera. Sasa All - Rounder...
  12. Sarikiaeli

    Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  13. gimmy's

    TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

    Siku chache zilizopita niliandika kueleza ugandamizwaji unaofanywa na TRA uliomuhusu dereva mmoja wa semi ambae alipigwa faini ya 3,000,000/= kisa kapakia tenga 20 za parachichi na alipoulizwa risiti ya transport hakuwa nayo kwani mzigo ule haukuhusu ofisi,ilikuwa ile kawaida ya madereva...
  14. Pascal_TZA

    Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi (+video)

    Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imemsimamisha kazi Afisa wake kutoka Mkoa wa Lindi ambaye video yake imesambaa mtandaoni akimshikia silaha aina ya panga dereva wa lori lenye namba ya usajili T412 DNN kilichotokea tarehe 11/11/2020. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard Ngewe amesema sasa...
  15. Analogia Malenga

    Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

    Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake. Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa. Umoja wa Wamiliki wa Mabasi...
  16. I

    Natafuta kazi ya udereva

    Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale. Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es Salaam vigezo vyote ninavyo pamoja na vyeti vya ufundi. Nitashukuru kama nitasaidiwa 0716-326162...
  17. I

    Natafuta kazi ya Udereva Uber, Bolt, Ping nk

    Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale. Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es Salaam vigezo vyote ninavyo pamoja na vyeti vya ufundi. Nitashukuru kama nitasaidiwa 0716-326162...
  18. Pascal Mayalla

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika? Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...
  19. maroon7

    Dereva na konda wanusurika kichapo baada ya kuwanyima abiria raha ya Flyover

    Juzi siku moja baada ya uzinduzi wa barabara ya juu kuna daladala ya kutokea Makumbusho kwenda Buguruni ilileta tafrani baada ya konda kumwambia dereva asipite flyover ili ajazie abiria pale kituo cha mafuta cha Oilcom iliyo pembeni ya flyover. Dereva kama kawaida yao wanatumiaga akili za konda...
  20. K

    Dereva wa Bajaji anahitajka

    Heshima zenu wakuu, natafuta dereva wa Bajaji ambaye amejiunga Uber na Bolt kwa ajili ya biashara ya Bajaji. Awe mkazi wa dar maeneo ya Tabata, Mwenge, Msasani, Mikocheni au Kawe au maeneo ya karibu. Dereva awe na leseni, kitambulisho Cha taifa, barua ya utambulisho na pia awe mchapakazi hasa...
Back
Top Bottom