Nafasi ya kazi kwa Dereva wa Uber

Nafasi ya kazi kwa Dereva wa Uber

Marcel_10

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
396
Reaction score
171
Habari ndugu
Dereva wa Uber anatafutwa
Awe na sifa zote za dereva wa Uber
Awe msafi
Mchapakazi
Mwenye uzoefu
Na mwenye nidhamu
WhatsApp 0737480658
 
Nimeliona dodoso la tangazo lako ukihitaji dereva wa online taxi (uber, bolt nk) . Naomba nikwambie nipo hapa niliyekidhi orodhesho la vigezo ulivyoweka cha zaidi nina account zote zikiwa active.
0789702863.

Kwa uaminifu naomba tufanye kazi pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom