dereva

  1. T

    Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  2. BARD AI

    Misri: Dereva aliyesababisha ajali iliyoua watu 21 akutwa akiwa amelewa

    Polisi walimkamata dereva huyo baada ya uchunguzi wa awali wa kiwango cha Ulevi kuonesha alikuwa ametumia Dawa za Kulevya. Watu 14 walionusrika kwenye ajali wamesema Dereva wa basi lilotumbukia kwenye mfereji katika eneo la Nile Delta Nov 12, 2022 alikuwa akitumia Simu huku akiendesha...
  3. Cherry123

    Natafuta dereva wa bajaji wa kuleta hesabu nipo Dar - Kigamboni

    Hello! Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri. Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961. Nipo Kigamboni
  4. B

    Dereva wa kupeleka magari madogo mikoani na mipakani

    Mwenye uhitaji wa Dereva anaye peleka magari madogo mikoani na mipakani nipo kwa ajili hiyo, bei zangu rafiki sana na nafanya kwa uaminifu mkubwa sana. Napeleka magari yanayotoka bandarini na kuyapeleka kwa wahusika pia napeleka yale ya transit hadi mpakani. Bei zangu ni kama ifuatavyo: 1...
  5. Msanii

    Ajali ya Mwendokasi, Dereva akimbia

    Kumetokea ajali inayohusisha basi la Mwendokasi na mtembea kwa miguu. Ajali imetokea ahsubuhi hii kwenye barabara ya Mwendokasi mbele ya Hoteli ya Kempiski Hyatt Zamani Kilimanjaro Hotel. Basi la Mwendokasi likitokea Posta ya Zamani, dereva wake hakujali kivuko cha watembea kwa miguu alimgonga...
  6. Yofav

    Taja sifa za hawa dereva bodaboda

    Habari wana Jamvi, Najua wengi wetu humu ni watumiaji wa usafiri wa bodaboda na kama sio basi tunawajua hawa madereva wa hivi vyombo vya moto. Okay, ebu kutokana na hiyo picha hapo juu, Huyo kijana alivyonyoa na muonekano wake kwa nyuma taja sifa zao hapa, na pia kuna wajuzi zaidi wanaoweza...
  7. JanguKamaJangu

    Dereva aliyemgonga Twiga kulipa faini Tsh Milioni 34.9

    Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia Septemba 29, 2022 ambapo kwa sasa dereva huyo anapatiwa matibabu chini ya ulinzi wa Polisi kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo. Tamko la faini limetolewa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Ignas Gara ambapo Twiga aliyegongwa...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Umri gani ni sahihi kwa dereva wa basi la abiria kustaafu?

  9. Replica

    Taa zikisharuhusu magari yaende, dereva hatakiwi tena kusimama kwenye zebra. Mtembea kwa miguu asubiri taa yake

    Matumizi ya zebra kwa waendao kwa miguu maeneo yenye taa, yanaongozwa na taa za barabarani. Na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 65(7)(b) na 65 (8). Jukumu la kuheshimu taa za barabarani ni la watumiaji wote wa barabara na sio magari tu. Hivyo basi, kwa mujibu wa kifungu cha 65 (7)(b) muenda...
  10. Donnie Charlie

    Jeshi la Polisi: Bado tunamsubiri Tundu Lissu na dereva wake ili kufanya uchunguzi

    Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake. Lissu ambaye anaishi nchini Ubelgiji alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 Septemba 7, 2017...
  11. Jorge WIP

    Kakoswa koswa kugongwa na gari akamtukana dereva, hajafika hatua mbili akagongwa na bajaji (Karma is real)

    Leo kuna machinga kapata ajali maeneo flan akiwa anavuka, japo makosa nilihisi ni ya kwake mwenda kwa miguu Kwanza alikoswa kugongwa na gari, maaana mwenye gari alijaribu kumpisha japo gari lilikuwa speed kidogo.. sasa jamaa kabla ya kuvuka barabara akawa anamtukana mwenye gari na kumuonyeshea...
  12. Roving Journalist

    Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
  13. M

    KWELI Bodaboda atumwa barua yenye ujumbe wa kulipua Kambi ya Lugalo kati ya Novemba 20 hadi 27, 2021

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
  14. ziggibro

    Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0767553726
  15. I

    Halmashauri ya masasi mkeka kitambo barazani

    Mkeka ushachanwa siku 3.
  16. sky soldier

    Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Cheo kinapopewa kwa mtu ambae sio muadilifu huwa ni janga kwa wananchi. Baadhi (sio wote) ya ma askari hutumia cheo hiki kunyanyasa raia, mfano anaweza kukupora mali yako, anaweza kukataa kukurudishia ulichomkopa, anaweza kukupiga, n.k. Ukijaribu kujitetea kwa askar ambae sio muadilifu kitendo...
  17. Infinity Solutions

    Anatafutwa dereva wa pikipiki kwa ajili ya kazi ya mauzo

    Habari za Leo, Anahitajika dereva wa pikipiki kwa ajili ya kufanya kazi za mauzo, delivery na kutanua wigo wa masoko mapya. Tunajihusisha na uuzaji wa Viungo (Organic Spices). Vigezo. 1. Awe na leseni ya kuendesha pikipiki, awe anajua kuendesha pikipiki kwa uzoefu na umakini. 2. Elimu kuanzia...
  18. JanguKamaJangu

    Waandishi wawili wa Reuters wajeruhiwa, dereva wao auawa Ukraine

    Waandishi wawili wa habari wa Reuters wamejeruhiwa huku dereva wao akiuawa baada ya gari walilokuwa wakilitumia kushambuliwa Mashariki mwa Ukraine katika Jiji la Sievierodonetsk Tukio hilo ni mwendelezo wa maumivu wanayopata waandishi wa habari katika vita ya taifa hilo dhidi ya Urusi...
  19. JanguKamaJangu

    Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

    Siku chache baada ya tukio la kukatika mkono wa kulia, Halima Mbwana aliyepata ajali wakati akiendesha basi la Super Feo lilipokuwa likitokea Songea kwenda Dar es Salaam, ameelezea kilichotokea sikunde chache kabla ya tukio. Kwa sasa Halima anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya...
  20. Fbn

    Dereva wa Ikulu akamatwa na Polisi kwa kuvunja Sheria za Barabarani

    Polisi trafiki Mjini Kampala asubuhi ya leo Jumatatu 30-may 2022 wamemkamata dereva wa Ikulu baada ya kudaiwa kujaribu kupiga U-turn katika lango la shule ya Msingi ya Aga Khan na kuwatisha maafisa waliojaribu kumzuia. "Tunaanzisha vita dhidi ya magari ya Serikali sasa hivi pamoja na bodaboda...
Back
Top Bottom