dereva

  1. E

    JamiiForums Tanzania GCLA: Dereva anayesafirisha kemikali bila kupewa mafunzo faini Tsh500,000

    Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka madereva hao kupata mafunzo ili kuepuka madhara kwao na kwa watu wengine. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti wa GCLA, Daniel Ndiyo leo Julai 3, akisema dereva anayesafirisha kemikali bila kupata mafunzo anafanya...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
  3. mr mtenya

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa daraja la VIP, uzoefu wa miaka 7, natafuta kazi

    Habari. Mimi ni dereva wa daraja la VIP (Grade II) natafuta kazi ya udereva. Nina umri wa miaka 32 na nipo Dar es Salaam. Nina cheti cha udereva kutoka VETA na pia cheti cha Kidato cha Nne (Form IV). Nina uzoefu wa miaka 7 kwenye udereva, mtanashati, muelewa, na ninajua lugha ya Kiingereza...
  4. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Dereva wa taxi mtandao (bolt,uber n.k)

    Mimi ni dereva mzoefu mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 2. Kwa sasa natafuta gari la mkataba au la hesabu kwa ajili ya kufanya kazi za Uber na Bolt.nina account ya bolt nk Pia niko tayari kufanya kazi kama dereva binafsi kwa mtu au kampuni. Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nami kupitia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Dereva bajaji Dodoma

    Habari anahitajika dereva wa bajaji (used ) ya mkataba. Dodoma mjini mkataba ni mwaka mmoja. Vigezo - Awe na leseni -Mdhamini mmoja Kwa yeyote aliye tayari anicheck whatsapp 0743315931 Deadline 1/06/2026
  6. W

    JamiiForums Tanzania Dereva Arusha: Unafanya kazi ya Kanisa mshahara ni Haleluya

    Wakazi wa Jiji la Arusha wamejikuta wakipata adha kubwa ya usafiri baada ya baadhi ya madereva wa daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani wakipinga kile walichodai kuwa ni manyanyaso kutoka Land Transport Regulatory Authority (LATRA). Mgomo huo ulioshuhudiwa leo Jumatatu Mei 25, 2026...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Arusha, Dereva Daladala wailalamikia LATRA, wadai haiwatendei haki

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu kama “daladala” mkoani humo kukaa pamoja na mamlaka husika, ikiwemo Jeshi la Polisi, ili kutafuta...
  8. Hornbil

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏 Update;Nilifanikiwa na maisha yanaenda fresh tu
  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Leo nilipata off kazini na nikawa napiga stori na dereva boda. Akanisimulia jinsi UKIMWI unatembea kimya kimya ila kwa kasi kwenye mji wetu. Inatisha!

    Watu wanaumia aisee jamaa katoka machimboni, karudi anapewa story kuwa mke wake alikuwa anaruka ruka nje, break ya kwanza ni kwenda kupima kwa lazima, imebidi jamaa amkimbie waifu kimya maana wife ana umeme na amemuachia chumba na vyombo vyote. Mzee hapa mtaani ana wake watatu, alivyojigundua...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani la mwisho alilosema dereva huyu?

    Kama alipata nafasi lakini ya kunyanyua kinywa🥱
  11. Streptokinase

    JamiiForums Tanzania Fursa: Dereva bolt/uber wa gari anahitajika

    Anahitajika dereva mwenye leseni ya gari na mwenye account ya bolt aliye na uzoefu wa kuendesha bolt Dar es salaam. Gari iliyopo inatumia mfumo wa gas, malipo ni kwa hesabu ya siku sio ya mkataba. Aliye tayari anicheki Dm. ===== Update: Dereva amepatikana
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupanda Daladala ambayo konda na Dereva hawaelewani?

    Ni mara kadhaa nimewahi panda gari konda na dereva wakawa wamepishana kauli hawaelewani wanagombana, ila hii ya leo walizidi. Leo nimepanda daladala kutoka Tegeta kwenda Mwenge, konda na Dereva wakawa wanagombana, ugomvi wao ulianza kabla sijaingia hivyo sijui chanzo hasa cha kupisha kwao...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Tanzania kaa chonjo.. Kuanzia Aprili kiama kinakuja kama hujajisajili LATRA

    Salaam Wakuu, Naona LATRA imeamua kula sahani moja na Madereva, Safari hii itakuwa kumbakumba nguo kuchanika. Ipo hivi; Kuanzia mwezi wa nne 2026, kama wewe ni Dereva na haujajisajili LATRA, Au unenunua vyeti feki, Madereva mnaonunua barua za uhakiki na hamna vyeti, madereva wanaonunua...
  14. mrangi

    JamiiForums Tanzania Huyu derevea yupo sawa kweli? Kwanini amehatarisha maisha yake na wenzake hivi?

    Nimetumiwa hii clip ikazidi Kunishangaza,maana kuna madereva bado hawajifunzi sijui ni ukichaa Ujuaji mwingi ! Mtu unaona kabisa kuna mafuriko kuna hali ya hatari wewe unapitisha chuma hapo! Kwa wenzetu uzoefu wangu nnayoonaga mfano snow(barafu)likiwa kali mpk barabara inakuwa kama kioo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dereva bajaji ya mkataba anahitajika

    Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika 1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni 2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu 3.Awe na leseni 4.Awe anafanya bolt 5.Awe mchapakazi na mwaminifu Mawasiliano:0757208745/0617984818
  16. dhk1

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Ssebo anaweza kufunguliwa kesi yabl uzembe na kusababisha kifo cha bosi wake?

    Hello GT.. Nina swali hivi dereva wa Ssebo anaweza kufungulia mashtaka ? Badala ya kumpeleka jamaa hospitali yeye alifanya maombi. Yaani dizaini kama aliharikisha kifo cha jamaa.
  17. M

    JamiiForums Tanzania uliwahi kukwaruzwa au kuharibiwa gari na dereva wa bajaji au bodaboda anaeendesha kwa pupa, fujo, uzembe, kutotii sheria, n.k. ?

    Madereva wa bajaji na bodaboda ni moja ya kundi lenye madereva ambao wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa kukosa utulivu barabarani. Wengine huendesha kwa pupa kukimbizana na pesa, wengine kwa fujo kuonekana maridadi mbele ya wenzao, wengine hawazijui kabisa sheria za barabarani wanaingia kwa...
  18. idiomer

    JamiiForums Tanzania Dereva akienda safari 150k kwa siku mwalimu 50k ...Dar life is not fair.....tutegemee elimu ipande kweli ???

    Tuheshimu walimu kwa kweli. Haya ni masihara
  19. Seran

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa private Dar-mbeya

    Naombeni connection ya dereva wa kumuendesha mtu from dar to mbeya ndani ya hii week! Kama Upo humu, Njoo na gharama zako ila usitupige!
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Dereva wa Mbunge usipitie kwa Wabunge, baadhi wanawanyonya, hawawalipi inavyotakiwa

    Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge. Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva. Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
Back
Top Bottom