Hassan Yusuf, Dereva wa Usangu ametekwa nchini Kongo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,852
Reaction score
63,381
Dereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo.

Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo, hawarudi na hakina anaye jali. Je, Makubaliano ya Tanzania na Kongo yapoje kibiashara?
 
View attachment 3521803
Unakumbuka hii

Ukiwa Congo DR usalama ni kidogo
Kule serikali haina meno, vikundi vya wahuni ni vingi
Nadhani Kwa hili serikali haina jinsi
 
Dereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo.

Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo, hawarudi na hakina anaye jali. Je, Makubaliano ya Tanzania na Kongo yapoje kibiashara?
View attachment 3521803
Ametekwa na anapiga Self? Aje akutane na watekaji wa bongo
 
Wanasaidiana.. Hata Ukonga watu wanapiga, simu. Tatizo watoto hamjui maisha. Kommenti kwa kujifurahhisha.

Lazima ujue kikundi gani kimekuteka. Wanakuteka wanakuambia Upige simu kwenu uombe hela wakituma unaachia.. Maisha ya kongo si sawa na yya huko kwenu Magwepande
 
Back
Top Bottom