demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi 12 zenye Demokrasia Bora Barani Afrika

    Bara la Afrika bado linakabiliwa na changamoto kubwa kwenye masuala ya Demokrasia duniani, kwa mujibu wa Ripoti ya Economist Intelligence Unit (EIU), 12% tu ya Nchi za Afrika zina kiwango bora cha Demokrasia zikiongozwa na Mauritius. Nchi zenye kiwango kibaya zaidi cha Demokarasia ni pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

    Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha. Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana upinzani unakuwa kwasababu ya kukuwa kwa demokrasia na sio kudhoofika kwa CCM

    Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa. Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasiasa si Watawala wetu, usitumike

    Tanzania kama yalivyo mataifa mengine duniani, ni jamii ya mfumo wa Kibepari. Mfumo ambao, endapo unakomaa miongoni mwa watu wake, basi maslahi ya mtu mmoja huwa na nguvu dhidi ya maslahi ya watu wengi. Muda mwingine maamuzi ya wachache, hutawala mifumo ya maisha ya wengi. Demokrasia...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi asema serikali itaendelea kuitunza demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa 2024/25

    Rais Hussein Mwinyi amekuwa ni mgeni rasmi katika Mkutano wa Kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 Katika ushiriki wake, Rais mwinyi amezindua mpango wa kukuza mjadala ya vyama vingi na kuongeza...
  7. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Demokrasia inabidi iangalie mazingira ya nchi

    Katika mkutano wa wadau wa Demokrasia ulioandaliwa na TCD, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle amesema demokrasia sio lazima ifanane kwa kila nchi, lazima kila demokrasia izingatie mazingira yake. Amesema demokrasia ya Tanzania, inabidi izingatie mazingira ya Tanzania, ifanane na...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi mgeni rasmi katika Mjadala wa Demokrasia kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 Mkutano huu ni wa siku mbili, kusoma yaliyojiri siku ya kwanza bofya viunga hivi 1. Mkutano wa Kitaifa wa wadau wa Demokrasia: AveMaria...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  10. JamiiForums Tanzania Kinana: Demokrasia Inaendelea Kukua Tanzania

    Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
  11. JamiiForums Tanzania Mjadala wa wadau wa Demokrasia: Lipumba asema Demokrasia iliporomoka sana awamu ya tano

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 === Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania ilianzishwa mwezi Julai 1992. Tangu wakati huo, serikali imejitahidi kukuza utawala wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Salamu mbele! Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora. Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni demokrasia kuwashtaki wanaokosoa kataba wa bandari?

    Dikteta ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake. Dikteta uwa mtendaji mkuu wa serikali na amiri jeshi mkuu. Anashika pia madaraka ya kihakimu. Anaweza kuwaondoa maafisa wote wengine madarakani, anaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kutoka kwenye umasikini na kupata maendeleo?

    Swali ubaoni: Kwa nini demokrasia ya vitabuni haina mchango kwa nchi kupata maendeleo ya kiuchumi kutoka katika hali duni( umasikini ) kwenda hali bora ? Mifano: Russia U.S.A Europe Arab nation's China Korea Japan Singapore Taiwan Turkey Iran and so on.
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Familia: Jiko la mapishi ya Uwajibikaji na Utawala Bora katika jamii

    Picha: Gazeti la Mtanzania UTANGULIZI. Katika jamii, familia ni msingi thabiti wa ujenzi wa maadili na tabia za kijamii na kizazi kijacho. Kama vile jiko linavyokuwa kitovu cha mapishi, familia pia ni kitovu cha kuhamasisha uwajibikaji na utawala bora. Katika mataifa ya Ulaya na Uarabuni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokrasia na utawala bora

    UWAJIBIKAJI WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUIMARISHA DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA Utangulizi Vyombo vya habari vina jukumu muhimu katika kukuza demokrasia na utawala bora katika jamii. Uwajibikaji wa vyombo vya habari unahusisha jukumu la kutoa taarifa sahihi, kuelimisha umma, na kushughulikia...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana na Ufisadi: Kichocheo cha Mabadiliko

    Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kukatika umeme kwenye baadhi ya maeneo leo ni maandalizi ya kutunyima taarifa juu ya kitakachoendelea kesho Julai 23?

    Wakuu, Baadhi ya maeneo leo umeme umekatika mapema asubuhi mpaka sasa hola. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya kukatwa kwa umeme kwa baadhi ya maeneo. Je, haya ni maandalizi ya kutunyima taarifa kwa yale yatakayojiri kesho? Haishindwi kutokea na mitandao yote ya kijamii ikawa chini...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vipya 18 kuomba usajili ni kukua kwa demokrasia nchini au ni fujo?

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa. Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Mkutano wa Wadau wa Demokrasia Barani Afrika wa Viongozi wakuu wastaafu, Julai 17, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Wadau wa Demokrasia Barani Afrika unawahusisha Viongozi Wakuu Wastaafu wa Nchi mbalimbali Africa katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia jijini Arusha. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…