dawasa

  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso hivi unafahamu kwamba ni mwezi mzima sasa DAWASA hawajaunganisha maji kwa Wateja wapya?

    Habarini za Majukumu wadau, Kama kichwa cha habari kisemavyo, mamlaka ya maji Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani (DAWASA) wameshindwa kuwaunganishia wateja wapya huduma ya maji kwa sababu wanadai vifaa hamna. Specifically, binafsi nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji katka ofisi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  3. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DAWASA kwa mteja

    Habari wakuu, Ninahitaji sana mkata wa Dawasa unaohusu huduma kwa mteja,nimejaribu kutafuta kwenye website yao lakini nimekuta kurasa kumi tu na nyingine hawaja ziweka. Msaada tafadhali.
  4. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania DAWASA kuweni wakweli kupasuka bomba kubwa la Maji Bagamoyo rd

    Jana usiku limepasuka bomba kubwa la maji linalolisha katikati ya Jiji la DSM. Katika taarifa ya habari ITV saa mbili, Mtendaji mkuu wa DAWASA amesema bomba hilo limepasuka kutokana na ujenzi unaoendelea, kitu ambacho si kweli. Wakati huo huo bomba kwingine limepasuka huko Mlimani . DAWASA...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA wabadili siku ya kusoma Mita za Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la kutoa elimu kwa wateja wake wa Jiji la Dar es Salaam na miji ya Pwani juu ya mabadiliko ya usomaji wa mita za maji na upokeaji wa bili za maji uliofanywa hivi karibuni. Hatua hiyo inatokana na mabadiliko ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  7. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA na ubambikiaji wa bili za maji

    Katika siku za karibuni mashirika yanayojiendesha yamekuwa katika mikakati ya kuhakikisha yanazalisha pesa kwa namna yoyote Ile ili mradi wapate kujiongezea stahiki na mambo mengine, sasa katika harakati hizi ni DAWASA. DAWASA imekuwa ikilalamikiwa na wateja wengi sana kuhusu bili za maji...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kibaha mnaboa

    Imetia mwezi sasa tangu nipeleke maombi ya kuunganishiwa huduma ya maji katika pagalu langu lililopo Picha ya Ndege lakini hawa jamaa wa DAWASA hawajatuma hata surveyor. Isitoshe unapotembelea pale ofisi kwenu wateja wengi hufika pale na malalamiko mbalimbali ya huduma mbovu mnazotoa, hamna...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kujenga juu ya bomba la maji kubwa

    Wadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya...
  10. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Tulioletewa bili za ajabu za maji ya DAWASA tukutane hapa

    Wakuu hivi hawa DAWASA hizi meter zao wamezitemptor? Majirani zangu nilikuwa naona wanalalamika wanaletewa mabili ya ajabu nikaona labda matumizi yao. Jana wakanitumia bili yao, toka bili ya 5000 to 40000? Tena ya Desemba wakati kipindi hicho watu wengi walikuwa wamesafiri? Je, mliopata shida...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kulipia NHC Bills bado tatizo

    NHC kwenye Bill payment system yenu boresheni yafuatayo; 1.Mngeweka kwenye website yenu njia mpya ya kulipia hizo bills zenu kupitia control numbers... wengine tupo maporini lakini ni wapangaji wenu...naangalia hapa kwenye website yenu hata helpdesk page haifunguki nimeshindwa kupata msaada...
Back
Top Bottom