DAWASA Tabata tekelezeni majukumu yenu

Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
18,596
45,225
Nyinyi watu wa maji DAWASA nimeripoti tatizo langu la kukosa maji naona mpo mpo tuu na majibu yenu yasoeleweka, wiki ya pili hii sina maji kwangu bomba lenu limepasuka sijui mmefanyaje wenyewe mimi sipati maji wengine wanapata huduma kama kawaida.

Aisee msianze ukiritimba wenu na mambo ya kizamani ya kutaka hongo wakati mnatakiwa kutimiza wajibu wenu kama mimi ninavyotimiza wajibu wangu wa kulipa bills, huduma kwa wateja yenu mbovu wadada wanajibu hovyo sijui hamjawalipa na hii 0736 451 867 linamba lenu halipatikani tangu juzi... watu mnalala tuu😏😏.

Kuweni serious na kazi kama hamna watenda kazi ajirini vijana wapo wengi tuu kitaa.
 
Nyinyi watu wa maji DAWASA nimeripoti tatizo langu la kukosa maji naona mpo mpo tuu na majibu yenu yasoeleweka, wiki ya pili hii sina maji kwangu bomba lenu limepasuka sijui mmefanyaje wenyewe mimi sipati maji wengine wanapata huduma kama kawaida.

Aisee msianze ukiritimba wenu na mambo ya kizamani ya kutaka hongo wakati mnatakiwa kutimiza wajibu wenu kama mimi ninavyotimiza wajibu wangu wa kulipa bills, huduma kwa wateja yenu mbovu wadada wanajibu hovyo sijui hamjawalipa na hii 0736 451 867 linamba lenu halipatikani tangu juzi... watu mnalala tuu.

Kuweni serious na kazi kama hamna watenda kazi ajirini vijana wapo wengi tuu kitaa.

Yaaaaan hawako serius kabisa yaaaaan kama vile hawajui kama maji ni uhai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom