Mvua zimerejea kwa kasi, ngoja tuone watakuja na kisingizio gani tena

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,392
5,304
Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.

Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.

Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
 
Kwa kwel tusubiri
 
"kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana."
Unalipwa au unajitolea?
 
Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.

Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
Wangese wa Team Mgaso watakuja na maelezo 😅 wakiongozwa na Mgosi Marope
 
Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.

Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
Chato hakuna cha mkoa wala nini
 
Vile MATAGA hufurahia wakisikia kuwa kudra imefanya kazi na sasa mvua inanyesha👇😁😁😁

Hawajui kwamba Taifa haliwezi kuendelea kwa kutumia kudra.
E5eDxXVXwAIb3-b.jpg
 
Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.

Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
Utoto mwingine raha sana. Eti mvua zinanyesha ukanda wa Pwani na kanda ya Ziwa. Sijui hayo maji ya mvua za kanda ya ziwa na pwani yataimgia katika mito yetu ya Ruaha na Pangani kuliko na mabwawaya kuzalisha umeme.
 
'Mvua zinazoendelea kunyesha ni za Dar es salaam ambazo hazina uhusiano moja kwa moja na vyanzo vya Mabwawa yetu ya Mtera na Mto Ruvu,Ruaha na Pangani hivyo tunashauri Wananchi waendelee kuwa wavumilivu kipindi hiki Serikali yenu ya Visiwa vya Carribian ikiendelea na mchakato wa kupata mzabuni wa kukodisha majenereta ya kuzalisha Umeme ili kuhakikisha hakuna Mnyonge atakaekosa Umeme''
 
Huna akili
 
Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.

Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
Dawasa wanashangilia walifunga kuombea mvua maana biashara yao ni maji....yakipungua noma Tanesco balaaa maana changamoto zao ni nyingi zaidi ya mvua na maji
 
Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana.
Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena.

Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni 4 kwenye pori la Selous!!
Wewe njoo ununue Generetor acha kulalama,wewe unataka na mimi nikale wapi?
 
'Mvua zinazoendelea kunyesha ni za Dar es salaam ambazo hazina uhusiano moja kwa moja na vyanzo vya Mabwawa yetu ya Mtera na Mto Ruvu,Ruaha na Pangani hivyo tunashauri Wananchi waendelee kuwa wavumilivu kipindi hiki Serikali yenu ya Visiwa vya Carribian ikiendelea na mchakato wa kupata mzabuni wa kukodisha majenereta ya kuzalisha Umeme ili kuhakikisha hakuna Mnyonge atakaekosa Umeme''
Michooro bado ipo mapangoni ya kutuletea mvua ya kutengeneza
 
Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom