dawasa

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  2. toplemon

    JamiiForums Tanzania Hivi Dawasa wataendelea kutegemea mvua zinyeshe ndio maji yatoke hadi lini?

    Hivi jamani hawa Dawasa wataendelea kuishi kwa kutegemea maji ya mvua hadi lini?Nasema hivi kwasababu ni nusura ya mungu tu mvua imenyesha mikoani haswa morogoro na Iringa ndo maji yakafurika kwenye mito ndo na huku tukaanza kuyaona mabombani. Haya mambo ni hadi lini?Jee kila mwaka November na...
  3. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji na DAWASA wanampotosha Rais

    Wakati Mhe. Rais anafungua mradi wa maji kule Kigamboni hivi karibu, Ndugu Juma Aweso alitamka mbele ya Mhe.Rais kwamba kuanzia siku ile jiji la Dar es Salaam linapata maji kwa 100%. Alitoa kauli hiyo huku akijifananisha na Kocha wa Yanga alivyopindua meza Tunis. Wakati wa hotuba yake mama...
  4. Championship

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

    Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji. Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo...
  5. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Apatikane Mbadala wa DAWASA na TANESCO ili kuongeza ushindani na ufanisi wa utoaji huduma

    Wadau, Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme. Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi. Ifike mahali...
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Ina maana DAWASA hawasafishi na kuzibua visima hadi kutokee uhaba wa maji?

    Jamani hivi mmegundua kuwa tangu itangazwe kuwa kuna upungufu wa Maji unaosababisha mgawo, DAWASA wameanza kuzibua Visima 161 mitaani huko ambavyo havikuwa vikifanya kazi. Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kabisa kuwa hawa jamaa DAWASA hawana kawaida ya kuchukua tahadhari yoyote kuhusu dharula ya...
  7. toplemon

    JamiiForums Tanzania Serikali mpo wapi watu wa Ubungo Kibangu wiki ya 3 hatuna maji hata tone, DAWASA wametutelekeza

    Maeneo ya Kibangu Juu huku mitaa ya kwa Mdee, kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji. Bora maeneo mengine yanapatikana hata kwa mgao, sisi hatuoni hata ya mgao wala nini na huku hata mbadala wa visima hamna yaani ni kilio. Dawasa mnajua kututesa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji: Mto Ruvu hauna maji au ni matengenezo ya DAWASA?

    Ni vema tukaelezwa Ukweli ili tujipangie Siku za kuoga Tatizo ni nini hasa? Ni matengenezo ya Pump za Dawasa au Mto Ruvu hauna Maji?! Msema Ukweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni!
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Vituo rasmi vya kuchota maji kwa magari

    Kauli Mbiu: Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wananchi wa Mbagala walalamikia DAWASA kusitisha huduma ya mwekezaji binafsi

    Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote na kudai kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia muwekezaji binafsi kupata huduma hiyo. Malalamiko hayo...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania DAWASA na TANESCO kwanini hamzingatii ratiba?

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na kero kubwa ya kampuni za DAWASA na TANESCO kutoa ratiba ya kuwepo au kutokuwepo na huduma sehemu fulani kwa siku fulani lakini ukiifuata unaambulia patupu. Makampuni haya yamekuwa yakiwapoteza watu mbalimbali kwa sababu ya kutoa ratiba zisizofuatwa. Siku chache...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Awesso jiuzuru upesi na DAWASA iwajibishwe

    Waziri Awesso hutoshei katika hiyo ( hii ) Wizara na muda mfupi tu uliopita nimetoka Kukusikia ukizungumza Radio One Nipashe na Kugundua kuwa hata Kichwani pia ni mtupu mno. Unaongea ( Unatoa Maelezo ) yako Kienyeji ( Kiuswahili ) zaidi na siyo Kitaalamu na Kitaaluma halafu pia hauko that...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aweso akagua ukarabati wa bomba la Maji Dar

    Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?! Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba. Nchi hii!! ---- WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aiagiza DAWASA kushirikiana na wenye visima

    Kutokana na kupungua kwa maji katika Mto Ruvu ambao unatumika kusambaza maji katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani na mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameiagiza DAWASA kushirikiana na wenye visima vya maji kutoa huduma hiyo ili kupunguza madhira yanayowapata wakazi wa mikoa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar yakumbwa na Mgao wa Maji. Ratiba ipo hivi;

    Ikiwa ni Wiki ya Pili sasa mgao ukiendelea kimya kimya, hatimaye DAWASA yatoa ratiba ya Mgawo wa Maji. Nanukuu kiongozi wa Mkoa: "Naomba niwaambie wananchi kuwa mgawo haupekuki kutokana na ukame ambao tayari TMA ilishatangaza kuwepo kwa hali hii muda mrefu kulikosababishwa na kunyesha kwa mvua...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika. Agizo...
  17. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji na Mkurugenzi wa DAWASA

    Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa. Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo yetu na mengine ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na hali mbaya sana ya upatikanaji wa maji ya...
  18. Nafaka

    JamiiForums Tanzania DAWASA kuna nini? Maji yamekuwa ya shida sana

    Yapata siku ya nne leo katika baadhi ya maeneo ya Tegeta mpaka Bunju maji hakuna. Watu wanahangaika kusaka maji. Halafu utasikia waziri anapewa sifa kweli lakini kila siku maji sehemu mbalimbali utasikia shida. Au ndio kuna mgao wa maji
  19. mayome

    JamiiForums Tanzania Dawasa wanatupiga

    Nimefanya tathimini nikagundua hizi mita za maji hapa Dar ni majanga sana. Yaani hata ukiwa umesafiri bili inakuja ileile na mita inatembea. Kuna kitu hakipo sawa kwenye mita za maji jamaa wanatupiga. Wanatuumiza sana jamani was galleries tena ufanisi wa mita zao.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya bomba la Maji yanaendelea, huduma kurejea baada ya kumaliza

    DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO Na Crispin Gerald Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
Back
Top Bottom