dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Watumishi wa Umma waondolewa siku moja ya kazi kuhamasisha walime

    Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata dawa hii iliyogundulika ya kutibu cancer

    Ndugu wapendwa nawasalim!!!!! Tumepata tatizo kwenye familia kaka yetu amegundulika na ugonjwa wa cancer, amekuwa ana patwa na maumivu makali na kukata tamaa ya kuishi. Jana nimeona kwenye vyombo vya habari AZAM TV na magazetini wameripoti kuna dawa imegunduliwa huko Marekani ambayo imetibu...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Dawa ya majaribio yaleta ahueni kwa wagonjwa wa Saratani

    Kwa mujibu wa Utafiti uliochapishwa katika Jarida la "The New England Journal of Medicine", Wagonjwa 12 waliotumia Dawa ya Majaribio ya Dostarlimab kwa kipindi cha miezi 6 walionekana kupata nafuu. Jaribio hilo dogo limefanyika Nchini Marekani Kwa mujibu wa Dkt. Luis Diaz, hii ni mara ya kwanza...
  4. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania Dawa ya maambukizi (fangasi) kwenye ulimi (geographical toungue).

    Msaada anayejua dawa ya maambukizi kwenye ulimi kwa jina la Geographical toungue kama inavyoonekana hapo kwenye picha. Niliambiwa ni upungufu wa vitamin C, nikaandikiwa dawa za Vitamin C, nikaambiwa nile vyakula vyenye Vitamin C lakini wapi. Je, kuna yeyote anafahamu huu ugonjwa na dawa yake...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Kamishna Jenerali wa DCEA asema wamekamata Dawa za kulevya kilo 877

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Januari hadi Mei 2022, imekamata kilo 877.217 za dawa za kulevya, imezuia uingizaji wa kilo 122,047.0855 na lita 85 za kemikali bashirifu nchini. Kamishna Jenerali wa DCEA, Gerald Kusaya ametoa takwimu wakati...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli dawa ya kuongeza uume ipo?

    Nlikua nacheki kipindi kimoja apa kwenye televisheni, daktari mmoja wa uingereza alikua anaeleza kuwa bado mpk sasa wanasayansi hawajaweza kuja na dawa ya kuongeza ukubwa wa dushelele. Ila uku kwetu bongo naona matangazo kibao ya uwepo wa dawa izo. Ivi ni kweli zipo? Kama zipo naombeni muongozo...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Iliitwa bunduki kabla hujachanganya dawa unahitaji mafuta ya taa

  8. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Serikali yazuia wanachama wa NHIF kwenda kuchukua dawa maduka ya nje kwa kufuta matumizi ya form 2c

    Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia wagonjwa wa NHIF kujaza dawa zisizokuwepo hospitali, ili mgonjwa au ndugu wa mgonjwa akachukue dawa...
  9. Ryder2

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Nimeanza kuacha matumizi ya dawa za kupunguza mapigo leo tarehe 25 saa4 kamili asubuhi

    Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo. 1. Kwanza ifahamike kwamba mwanzoni nilikua nameza kidonge kizima cha NEBIVOLOL chenye 5MG, na badae nikapunguza...
  10. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Bodaboda vs Polisi: Sikio la kufa halisikii dawa

    Malalamiko ya wamiliki wa bodaboda/pikipiki yamezoeleka masikioni mwetu na kupelekea hali inayoendelea Sasa hata JamiiForums kuona hakuna sababu ya kuliongelea tena. Mimi nimeona nisichoke katika hili. Wabunge ni walewale, viongozi ni walele na Sheria ni zilezile. Najiuliza shangwe zile za...
  11. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

    Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney. Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Maduka ya dawa Tanzania yanatumika kutuibia, kututesa, kuharibu afya zetu na kutuua?

    Kwa siku za karibuni hapa JF kuna mjadala mkali sana unaendelea kuhusu taaluma ya ufamasia na maduka ya dawa hapa Tanzania. Kupitia mijadala hiyo, nimejifunza mambo kadhaa ambayo hapo kabla sikuyajua kwa kina. Nimegundua mambo haya: 1. Mtu ili kuanzisha na kuendesha biashara ya duka la dawa...
  13. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
  14. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa ni salama mikononi mwa muuguzi (nurse)

    Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN. Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa. Jukumu hili lanabakia kuwa salama sana mikononi mwa Muuguzi kwa sababu nyingi ikiwemo zifuatazo. 1. Anaufahamu mwili na...
  15. Biz TV

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy. Aidha Waziri Ummy...
  16. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Ni nini dawa ya mchwa? Wanamaliza mikaratusi yangu

    Mada tajwa hapo juu Wakuu mwenye ujuzi hapo au uzoefu wa dawa nzuri ya hawa wadudu anisaidie. Wananipa kipigo kitakatifu mno
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hili janga la kufunga na kufungua nchi dawa yake tutaipata lini na wapi?

    Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina. Takribani Kila...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

    Serikali inahangaika juu ya Panya road wakati dawa yake ipo. Kwanini msimchukue huyu jamaa awasaidie hiyo kazi ya kutimua hao panya road. Nmemaliza.
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Askari mbaroni kwa madai ya kusafirisha dawa za kulevya

    Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kusafirisha kilo 120 za mirungi. Kamanda wa Polisi Mkoa Kilimanjaro, Simon Maigwa alipoulizwa na Mwananchi kuhusu madai ya tuhuma hizo alisema anaifuatilia na hakutaka kuingia kwa undani juu ya ukamataji huo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tujuzane. Wataalamu wa kutibu meno wanapatikana wapi?

    Habari wakuu, 1.Tujuzane hapa kama unawajua waganga wa asili wanaotibu meno,hasa fizi kuvimba na maumivu makubwa ya meno. 2. Dentists wazuri. 3.Hospitali nzuri za meno. 4. Dawa nzuri ya meno. 5. Njia zilizokusaidia. Mawasaliano yao na bei zao. Dogo hapa ana shida ya haraka.
Back
Top Bottom