dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NEMC yatoa angalizo tabia ya wenye mabasi 'kuchimba dawa' na kutupa taka Ovyo porini wakati wa safari

    Mkurugenzi wa Baraza la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka amezungumza na waandishi wa habari na kusema: Moja ya jambo ambalo limekuwa likifanyika mara kwa mara kama mazoezi ni mabasi ya abiria, malori na magari yanayofanya safari ndefu kuwa na kawaida ya kusimama porini kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau ukiacha HIV, tujuzane dawa kiboko za kutibu magonjwa ya zinaa

    Wasalaam nyote, Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa. Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa. Basi ni vema walau tuambiane...
  3. JamiiForums Tanzania Wafamasia waaswa kutojihusisha na Wizi wa Dawa hospitalini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amewataka wafamasia kuzingatia uaminifu pamoja na weledi katika utendaji kazi wao wa kila siku. Prof. Janabi ameyasema hayo wakati wa hafla la kuwapongeza wafanyakazi bora wa robo ya nne iliyoandaliwa na Idara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Iringa: Kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na Bangi zakamatwa na watu 12 Washikiliwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanya operesheni maalum katika mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na bangi na kuwakamata jumla ya watu 12 wakihusishwa na dawa...
  5. JamiiForums Tanzania Vishilingi kichwani msaada wa dawa

    Nina sehemu mbili hazina nywele kichwani, vipo kama vishilingi nimetumia dawa zote hazioti. vina miezi saba sasa. msaada tafadhali. haviwash wala vipele havina ila vinakula nywele
  6. JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi na dawa, chimbo gani zuri kwa hii wkend?

    Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi? Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye dawa ya ndoto za mapenzi. Msaada wa unahitajika

    Kwa muda Sasa mpenzi wangu amekuwa akisema (kudai) anaota NDOTO akifanya mapenzi hadi kuridhika.Na amekuwa akiota na watu(sura) tofauti tofauti anao wajuwa tena Hana ukaribu nao na akiamka anajikuta na majimaji na mwenyewe akidai ana furahia kwenye NDOTO.Kwa yeyote mwenye uelewa wa mambo haya...
  8. JamiiForums Tanzania Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

    Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida. kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
  10. JamiiForums Tanzania Hii dawa ninaweza kuipata wapi?

    Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
  11. JamiiForums Tanzania Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo. Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  13. JamiiForums Tanzania Upatikanaji Dawa Muhimbili Wafikia Asilimia 97

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili, Nelson Faustine amesema, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika taasisi hiyo imeimarika na wameshuhudia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhaba wa dawa na vifaa tiba ni kilio kikubwa kwa jamii ni vyema serikali kuhakikisha hali hii inakoma

    UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA Utangulizi Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Dear Beautiful Sunshine(Cheusi Dawa)

    Dear Beautiful sunshine, I hope this puts a smile on your face because whenever someone calls me handsome, it makes me smile. Every morning look at yourself in the mirror and say"I love you, beautiful. I really, really love you sunshine" And then smile at yourself. You are worth the love. And...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dawa gani inasaidia kuondoa upofu?

    Habari? Kifaranga wangu ana wiki ya tatu sasa hivi. Wiki ya kwanza ndiyo niligundua kuwa haoni baada ya kula, kunywa maji na kutembea kwa hisia(yaani anabahatisha kila anachokifanya). Hajawahi kuwa na ugonjwa wa macho tangu ametotolewa. Mwenye kujua dawa humu anisaidie kwasababu dawa za...
  17. JamiiForums Tanzania Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Teja wa Dawa za Kulevya Hadi Kupona

    Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania KWELI Maziwa huharibu ufanisi wa baadhi ya dawa

    Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa pindi hutumiapo dawa zozote basi itakupaswa usitumie maziwa aina yoyote kwasababu matumizi ya maziwa hupunguza au kuondoa kabisa ufanisi wa dawa hizo hivyo kupelekea kutotibu ugonjwa uliokusudiwa. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania Dawa ya kiburi ni jeuri, nilivyomkomoa ex anaeuza duka kwa kununua condom kila nilipojisikia kumuudhi

    2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumteua Mkuu wa Zamani wa Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kuwa DC Tanga, Kunatoa Taswira Gani

    Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…