dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Dawa kutibu bawasiri

    Naomba ushuhuda wa mtu aliyekuwa na bawasiri ya ndani akatumia dawa iwe ya hospitali au Tiba mbadala akapona atusaidie na sisi maana tumetumia hizo dawa za kienyeji mpk tumechoka Hela tu inaenda na km ni dawa ya dukani atutajie maana wanadai bawasiri pia inapunguza zile nguvu. Naomba kuwasilisha
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maumbile madogo ni wanaume ndio huyasababisha, kama upo makundi haya dawa ipo lakini uvumilivu wako ndio tiba.

    Kuna wale wanaume ambao wana maumbile madogo na kuhisi ndivyo walivyo lakini kiuhalisia hawakuumbwa hivyo. 1. Walioanza kupiga punyeto kabla au balehe inapoanza - kundi hili waliingilia process za uume kupata size kamili kipindi cha balehe. 2. Waliovaa chupi zilizokuwa zinabana - nao hawa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali wa Kudhibiti dawa za kulevya nchini Ndugu Aretas Lyimo namwona kama kiongozi serious na anayeweza kulisaidia Taifa; hongera

    Huyu Bwana anahitaji pongezi kubwa sana. Anapambana na dawa za kulevya proffesionally siyo kisiasa kama watangulizi wake. Amebiresha mambo mengi kwenye taasisi hii kwa muda mfupi. Ameondoa Tambo za vyombo vya habari, amepiga marufuku kuchafua watu kisa siasa na sasa anakamata na kuchunguza...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wakufanya kongamano la kitaifa kutafuta dawa ya wahuwaji washenzi /vibaka kwa wananchi

    Ndugu zangu wana jf kwanza heli ya sikukuu popote mlipo na niwatakie kheli pia ya mwaka mpya 2024 popote mlipo na kwa kipee wanaccm na mwenyekiti wenu maana siasa sio ugonvi, ila ikumbukwe mwaka tunao maliza mmeliumiza sana Taifa la Bwana. Wakuu rejea kichwa tajwa hapo juu, mwaka 2023 unaenda...
  7. JamiiForums Tanzania Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

    Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi. Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya. Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital? Unless kutakuwa na shida mahali
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali. Kwa sasa hivi nilikuwa natumia...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  10. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wanaopigana Gaza wakumbwa na maambukizi yasiyosikia dawa

    Mbali na askari wa jeshi la Israel wanaouliwa vitani na Hamas kuna adui wao wengine wanaowatesa kichini chini .Maabadui hao wengine ni viumbe visivyoonekana ambavyo huwakumba wale wanaopata majeraha katika vita hivyo vinavyoendelea kwa mwezi wa tatu sasa. Viungo vya askari hao huathiriwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    [NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...
  12. JamiiForums Tanzania Bei kubwa za dawa Nigeria zimewafanya baadhi ya wagonjwa kugeukia tiba asili

    Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia. Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini madaktari hawa prescribe Headex kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake?

    Sijawahi kuona popote Headex ikiandikwa kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake na ni combination nzuri ya NSAIDS? Binafsi Headex ndio dawa ninayoitumia.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

    Wakuu, habari za muda. Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women. Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3. Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali. Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni...
  16. JamiiForums Tanzania Yapi maoni yako juu ya wimbi la dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume? Wanaotumia zinawasaidia?

    Kama uko online najua hujambo, wagonjwa wako ICU simu zao zimezimwa. Kuna kasumba ya wanaume kuambiwa vibamia suala ambalo limepelekea kuibuka kwa wingi kwa watu wanaosema wanatibu tatizo hilo. Hivi juzi niliijiwa na jamaa yangu anasema ana rafiki yake anamsumbua amuelekeze dawa ya kukuza...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba yabaini Kiwanda Bubu Arusha kinachotengeneza Dawa Bandia za mifugo

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo imefanikiwa kubaini kiwanda bubu ambacho kinatengeneza dawa bandia za mifugo...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu dawa za PEP

    Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

    Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…