dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzanite klm

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusaga unga Dar

    Habari za saa hizi wataalamu. Nina mashine ya kukoboa na kusaga. Rolla tatu, mota 30hp zote mbili. Toka nianze hii biashara sijapata faida. Naomba ushauri kwa walio kwenye hii game muda mrefu. Nifanye nini niweze kunufaika na hii biashara?
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa Heri Dar (Mkoani) Karibu Dodoma HQ. Serikali Kuifanya Dodoma kuwa Kitovu Kikuu Cha Uchumi wa Nchi

    My Take Sasa Dar inaenda kuwa kama Mombasa na Dom kuwa kama Nairobi. Siku zote anakolala Baba ndiko taulo linatunzwa.Pia soma Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha Nyumba za Kuishi na Biashara (Frame) | JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama hayati JPM kwa miaka mitano alifanya makubwa taifa lake, je angekaa miaka kumi ingekuwaje? Angekuwepo Bandari ya Dar isingebinafishwa kwa Mwarabu

    Hili halipingiki hata kidogo nalipo dhahiri na wazi kabisa. Cha kwanza kabisa alihakikisha anakusanya fedha na fedha zitumzwe kwenye mfuko wa taifa ili mafisadi wasikwapue kama huko nyuma. Fedha za umma zilitumika ipasavyo bila ujanja ujanja. Miradi ya kimkakati ilisimamiwa ipasavyo Mfano Sgr...
  4. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania KERO HR vyuo vikuu vya Tumaini Makumira na Tumaini Dar es Salaam (Dartu) kuna tatizo gani? Mnaita watu kwenye interview halafu mnapotea mazima. Kulikoni?

    1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha. Walikuwa disorganized balaa na mazingira yalikuwa very hostile lakini hatimaye interview ilifanyika...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Prof Mohammed Hassen: Ethiopia anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar. TISS hawajui!?

    Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni Dar: Wazazi waendelea kumsihi mmliki wa shule kumuondoa Mwalimu Mkuu anayeelezwa kuwa na historia ya maadili mabovu

    Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Muliro awapongeza Askari Polisi waliofanya Vizuri 29 Oktoba 2025

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. ===== KAMANDA MULIRO AWAPONGEZA ASKARI...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha Nyumba za Kuishi na Biashara (Frame)

    Kwa mara ya kwanza katika Historia Jiji la Dodoma limepindua meza na kuwa Kimbilio la Biashara ya makazi yaani real estates. Dom ndio Jiji linajengwa Kwa kasi makazi ya kuishi na biashara kiasi kwamba bei ya kupanga chumba Cha duka Dom ni kubwa kuliko Dar...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Offer for sale of prime commercial property located at victoria place - Tanzanite park area, Dar es salaam

    RE: OFFER FOR SALE OF PRIME COMMERCIAL PROPERTY LOCATED AT VICTORIA PLACE - TANZANITE PARK AREA, DAR ES SALAAM I am writing in my capacity as a real estate agent acting on behalf of my client, who is the legal owner of a strategically located property situated at Victoria Place, Tanzanite Park...
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Wamasai wameanza kuogopeka jijini Dar es salaam

    Kufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye vazi la shuka, hususan kobeto likiwa linaning'inia pembezoni mwa kiuno Twende kwenye tukio halisi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake wa Dar ni kiboko

    Wanawake wa Dar aisee hapanaaa. Siku hizi ni kama vile biashara imehamishiwa kwenye usafiri wa umma. Yaani unakutana na mwanamke kwenye usafiri wa umma ni kama vile amedhamiria umtongoze. Anakusogezea kalio mpaka unatamani umuombe msamaha. Hivi ni kwamba wanaume tunawindwa kwenye usafiri wa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyokutana na Viongozi wa Upinzani Ikulu – Dar, Oktoba 15, 2013

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kitanzania afuata ndoto ya Kichina kupitia shindano la lugha jijini Dar es Salaam

    Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu ndio walitarajia mvulana huyo mpole angevutia hadhira kwa lugha fasaha ya Kichina. Akiwa amevalia...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kama ume imiss Dar ya Miaka ya Tisini hakikisha kila sikukuu ya kiislamu unatembelea Chanika au Back City

    Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what? But comments sections za nyimbo zilizo kuwa hit miaka ya tisini nchi mbalimbali zimejaa watu wanao...
  15. msauzinho

    JamiiForums Tanzania Ila daladala za Dar zina mambo mengi

    Ukipanda daladala za Dar ni vituko, vichekesho na kutamanishana tu. Hebu chek hii video
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

    Ku-survive kama kijana Dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'. Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na kujaribu vyakula na weather mpya ila adventure kwa mtu mweusi ili kuzifanikisha sexual fantasies zake kwa...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kigamboni Ilipaswa Kuwa Mji wa Hotels, Malls na Skyline Kubwa ya Dar

    Kigamboni ilikuwa na potential kubwa kuwa mji wa kisasa zaidi Tanzania kutokana na beach nzuri, usalama, nafasi kubwa ya ardhi na ukaribu na city centre. Watu walitegemea baada ya daraja kujengwa ingejaa hotels kubwa, malls, arenas na majengo marefu kama Dubai au Miami. Lakini imebaki local...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi yadai eti imewaokoa wale Wachina wawili waliotekwa

    Upelelezi wa Jeshi la Polisi ulifanikiwa kuwaokoa wahanga hao tarehe 16 huko maeneo ya Mbezi Beach Kinondoni. Watekaji waliwatake na kudai ndugu wawapw Dola za Kimarekani Milioni moja 20 ili wawaachie huru. Watuhumiwa wanne wamekamatwa. Polisi wamewataja watuhumiwa kwamba ni 1. Deng Anqing...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  20. papag

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa Sokoni Dar

    Wakuu wewe lete mzigo tu. Mengine tuachie sisi. Dar es salaama moto!
Back
Top Bottom