Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
📍 – Bunju “B”
Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku.
Tatizo kubwa ni:
Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni
Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu)
Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
Ndugu wasomaji
Tulisikia kwamba saivi city council ya dar es salaam saivi wanahitaji mwemye contena aende ofisi za city ku fanya advance malipo ya contena kuingia mjini na wakati kwa hali hii sisi wengi tunajua hizi kazi hazina uhakika kwamba contena inatoka saa ngapi au lini kwa hiyo hii ku...
Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa.
Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
Anonymous
Thread
ajira mpya
dar
hospitali
hospitali ya rufaa
kujikimu
mwananyamala
pesa ya kujikimu
Wakuu Kwema?
Naomba aliyewahi kusafiri kwa gari binafsi Dar to Musoma au Musoma to Dar alitumia masaa mangapi? Nataka kupata experience. Maana nilisafiri kwa Bus nilitumia masaa 22 sio poa.
Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam bado inachangamoto ya maji, amesisitiza katika mpango wa maendele ya serikali kuweza kuzingatia...
https://www.youtube.com/watch?v=3QM423d5K-8
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia ukosefu wa maji katika mitaa yao, hali wanayosema imekuwa changamoto kubwa kwa wananchi, hususan Wanawake na Watoto.
Wananchi hao wametoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso...
My Take
Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho.
Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA
KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000
UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE
CONT
0783 80 52 14
Past DICKSON
Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo
Mungu awabariki
Naam huu wimbo ulikuwa unapigwa sana WAPO Radio Dar el Salaam Miaka ya 2013 na 2012 mwishoni...,,
Una mahadhi ya kama nyimbo za South vilee....
MANENO YAKE
Baba nipe Roho wako
Aniongoze,anifundishe
Bwana Yesu nipo Roho
Akae ndani yangu
Sasa kina nani wameuimba...sijui
Nitaupata wapi?,,,sijui...
Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao.
Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
Wakuu,
Naomba kuelekezwa mahali zilipo karakana na ofisi za SIDO Dar es Salaam.
Natokea Kimara, kwa usafiri wetu wa daladala nipande za kwensa wapi hadi nifike. Msaada tafadhali
Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!
Tutajuta kwenda huko!
Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema, wameandaa tamasha la IST ambalo limelenga kukutanisha vijana wa vyuo mbalimbali kwa lengo la upimaji wa afya bure na kutengeneza fursa tofauti.
Soma pia: Wanaosema ist sio gari...
Wakuu habariii,
Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa...
Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe)
Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali.
Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you!
Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.