dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Nafasi ya kujitolea katika taasisi binafsi au NGO Dar es Salaam

    Habari zenu wanajamii, Mimi ni kijana wa kitanzania, nina miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimesomea shahada ya sanaa katika isimu na fasihi (Bachelor of Arts in linguistics and literature). Mbali na elimu niliyosomea nina ujuzi na computer applications. Natafuta nafasi ya...
  2. Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  3. Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  4. Dar es Salaam: Askari 300 waongezwa kudhibiti panya road

    Mikoa mingine mbona hawa vijana wanadhibitiwa? ======== Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mkoa huo umeongeza askari 300 kwa ajili ya msako wa kuwakamata wahalifu maarufu 'panya road'. Makalla ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 15, 2022 alipokuwa...
  5. Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

    Habari wakuu, Nataka nijenge Dar lakini kabla ya hapo nilikuwa nahitaji kufanya survey. Napenda wilaya tatu Kinondoni, Dar na Kigamboni lakini nilivyopitia maeneo mengi ambayo ni mazuri Kawe, Mbezi, Mbezi Beach, Kinyerezi Kimara ni ghali sana, hii survey nimeifanya mtandaoni! Yaani huku kupata...
  6. SoC02 Jinsi ambavyo Serikali na mkoa wa Dar inaweza kuongeza makusanyo ya pesa kupitia barabara za mwendo kasi bila kumuathiri mtu

    Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
  7. Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

    Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
  8. Panya Road 116 wanaotumia silaha za jadi wakamatwa Dar es Salaam katika msako wa siku 3

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
  9. D

    SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  10. Wakazi wa Dar kufaidi TAWA-Weekend bash ya kula Nyama Pori zilizochomwa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Meja. Gen. (Mstaafu) Hamis Semfuko, ameyasema hayo Mkoani Dar Es Salaam 10 Septemba 2022 alipokuwa aliongea na Wanahabari kwenye hifadhi ya pori la akiba la Pande (Pande game reserve). Amesema Wakazi wa...
  11. Wastaafu wa Dar es Salaam walalamika fedha nyingi zinawachanganya

    Wastaafu zaidi ya 5,000 Mkoani Dar es Salaam wamesema wanapata shida katika uzee wao kwani hawana elimu ya matumizi ya fedha na uwekezaji pindi wanapofikia hatua ya kustaafu na kupewa pesa nyingi ambazo wengi huwa zinachanganya. Hata hivyo katika kikao hicho ambacho Serikali kupitia Benki ya...
  12. Nauza "Usafiri" wa fasta, Mwanza to Dar ni dakika 15 tu!

    kumekucha kazi zimeanza jamani Bei elekezi ni milioni 5. hamna nafasi ya punguzo. 91km per minute. karibuni sana kina Mshana Jr
  13. M

    SoC02 Mifumo ya CCTV kamera ni jicho pekee litakalotazama jiji la Dar es Salaam

    Tupo kwenye kwenye karne ya 21 kwenye zama za sayansi na teknologia ambayo hujaribu kutatua na kuleta mbadala wa huduma na kazi zinazofanywa na mwanadamu kwenye kuhakikisha maisha ya wanadamu yanaenda na kuendelea kwa hali iliyo nzuri na ya kuridhisha . Kwa kufanikisha hilo wanasayansi kwenye...
  14. Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  15. Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

    Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida. Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji. Pia soma: Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake KERO - Waziri Juma Aweso atoke...
  16. H

    SoC02 Namna viwanja vya wazi vinatumika kuongeza watumiaji wengi wa madawa ya kulevya Dar es salaam

    Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo. Kama ilivyo adha kwamba kila kizuri kina kasoro basi, kwa utafiti wangu nilioufanya kulizunguka jiji la dar es salaam nimegundua...
  17. A

    Naombeni msaada, nina mtaji wa laki tano nifanye biashara gani? Nipo Kinondoni - Dar es Salaam

    Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali. Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
  18. K

    Ndoa 300 huvunjika Dar kwa mwezi

    Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeshtushwa na kasi ya kuvunjika kwa ndoa nchini chanzo kikubwa kikiwa ni kumomonyoka kwa maadili huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ndoa ni zaidi ya 300 zikivunjika kwa mwezi. Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Stanslaus Nyongo, leo...
  19. Wanaokuja kuishi Dar wapewe semina elekezi

    Katika utafiti mdogo niliofanya hapa Dar es Salaam nimegundua kuwa changamoto za mji huu haziishi na kwa kiasi kikubwa ni zile zile miaka yote kwa kuwa wakaazi wa mjii huu, hasa wale wageni hawataki kubadilika. Leo nimepita barabara ya Bagamoyo maeneo ya Mbezi, nikaona mdada mmoja anamwaga...
  20. Kunani Zanzibar? Ina eneo dogo kuliko Dar es salaam, lakini Rais anahangaika kuiongoza, vikao na waandishi wa habari,fukuza nyingi

    Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari. Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…