dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Wakazi Keko Mwanga wapanga kuandamana hadi kwa RC wa Dar es Salaam kuhusu mfereji wa maji unaojengwa na Wachina, Injinia wa Temeke alalamikiwa

    Taarifa kutoka kwa wakazi hao zinasema kwamba kabla ya mfereji huo usiotumika, makazi yao hayakuwahi kukumbwa na mafuriko makubwa kama yale yaliyotokea hivi Majuzi baada ya mvua kubwa kunyesha, hasa baada ya kuzibwa kwa mifereji ya awali huku mfereji huo mpya ukifungwa bila kutumika licha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu Nitapata wapi kiatu matata kama hiki hapa Dar es Salaam

    Nipeni chaka la hiyo boot nipendeze, smart brainy lazima niwe na smart boot
  3. L

    JamiiForums Tanzania Restaurant nzuri Dar es Salaam

    Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach. Bei isizidi sana 50,000 kwa mtu
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How powerful cartels ruined Nairobi's transport sector

    Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

    Wasalaam wapendwa. Wakuu nataka kusafiri kwenda Mwanza basi gani nzuri inayoweza kunifikisha kwa siku moja tu, iwe luxury ya kisasa. Karibuni tujuzane wakuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

    Wanasiasa wa upinzani wanapotoa maoni kwamba kuna vitu vya lazima na msingi zaidi kufanyika Dar es Salaam badala ya kujenga madaraja ya kupita juu ya bahari, huwa wanabezwa sana. Hatukatai hizi flyover zinasaidia sana kupunguza adha ya foleni Dar es Salaam lakini lazima tukiri kwamba flyover sio...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli. Karibuni nyote. Rip Mwalimu Nyerere Up dates; DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE Katibu Mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Dar es salaam imepitwa na wakati: Hali hii haiwezi kuendelea!

    Morogoro Road Jangwani Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala. Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam. Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dar es salaam tuipime CCM na viongozi wake kupitia mvua hizi zinazoendelea kunyesha

    Wakuu CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya...
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO mnaogopa nini? Tangazeni kuwepo kwa mgao au tatizo kubwa la umeme Dar es Salaam

    Habari wana JF, Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam. Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote. Huku Kimara leo hata siku...
  11. JamiiForums Tanzania Chang’ombe flyover ni moto wa kuotea mbali, foleni ya gari zinazotoka Kamata na Karume kuwa historia jijini Dar es Salaam

    Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari. Sasa kwakuwa vyombo vya habari...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu kubwa zinazo pelekea sisi wa mikoani kufanikiwa Dar es Salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo.. Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi. Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

    Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
  15. JamiiForums Tanzania Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

    Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam ====== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
  16. JamiiForums Tanzania Sioni dalili njema kwa wapinzani hapa Dar es Salaam

    Dar es Salaam ndipo tulitarajia iwe ngome kuu ya upinzani Nchi hii KUSTAWI ajabu inaelekea kuwa sivyo. Mwenendo mzima wa aina ya upepo wa kampeni za uchaguzi mkuu huu kwa hakika haupo kabisa mwamko na hamasa za ki harakati zilizo chanya kwa upinzani.Kumepoa! Dalili ni njema hasa kwa wagombea...
  17. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

    Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
  18. JamiiForums Tanzania Mwili wa Binadamu hauna Spares

    MWILI WA MTU HAUNA SPARES (VIPURI). Na, Robert Heriel Kwa masikitiko makubwa natoa pole kwa wazazi na ndugu wa Emanuel Mlelwa ambaye Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa aliyeuawa na watu wasiojulika huko Iringa. Pia niwape Pole wana-UVCCM Na CCM kwa ujumla kwa kuondokewa na kijana wenu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa wasafiri mjini Dar es Salaam wanatokea wapi?

    Wakati wa kipindi cha tishio la corona, kulitokea upunguaji mkubwa wa idadi ya wasafiri jijini Dar es Salaam. Niliwahi kuleta uzi nikauliza ile hali inamaanisha nini? Je, watu walilikimbia jiji au kwamba wasafiri wengi ni watu wasio na shughuli maalumu za kila siku kiasi kwaamba wanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…