dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam asema bei ya saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amesema bei ya rejareja saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi. Ameviagiza vyombo vya ulinzi kuendelea kuwakamata walanguzi wanaoendelea kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu. Juzi Waziri Mkuu, Kassim...
  2. Je, foleni Dar es Salaam imepungua?

    Wadau naomba kuuliza hili swali kwa wakazi wa Dar, nataka kufahamu kama kuna improvemet yoyote kwenye kupunguza foleni hapa Dar. Mimi binafsi naona kama kuna ahueni tofauti na Zamani, maana unaweza kutoka Buza Sigara kwenda Kariakoo na ukatumia Dk 20. Lakini zamani ilikuwa unatumia kama saa...
  3. Bandari ya Dar es Salaam yashinda tuzo ya ubora barani Afrika

    11 NOVEMBER 2020 Tanzania Daily News (Dar es Salaam) By Edward Qorro THE Port of Dar es Salaam has been voted as Africa's Leading Cruise Port in the 27th edition of the World Travel Awards (WTA), held in London on Tuesday. This is the first time Tanzania's largest port scooped the award in a...
  4. TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

    Nawakumbusha tu TARURA wakati serikali mpya ikiingia madarakani ni muhimu sasa barabara za mitaani katika jiji la kibiashara la Dar es salaam zikajengwa kwa kiwango cha lami. kusema kweli ni aibu kwamba barabara nyingi za mitaani hata katika maeneo yaliyopangiliwa kama vile Mbezi Beach...
  5. GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Ubungo Profesa Kitila Mkumbo (CCM) - Kura 63,221 Boniface Jacob (CHADEMA) - kura 20,620 Kibamba...
  6. GE2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
  7. Wakazi Keko Mwanga wapanga kuandamana hadi kwa RC wa Dar es Salaam kuhusu mfereji wa maji unaojengwa na Wachina, Injinia wa Temeke alalamikiwa

    Taarifa kutoka kwa wakazi hao zinasema kwamba kabla ya mfereji huo usiotumika, makazi yao hayakuwahi kukumbwa na mafuriko makubwa kama yale yaliyotokea hivi Majuzi baada ya mvua kubwa kunyesha, hasa baada ya kuzibwa kwa mifereji ya awali huku mfereji huo mpya ukifungwa bila kutumika licha ya...
  8. Wakuu Nitapata wapi kiatu matata kama hiki hapa Dar es Salaam

    Nipeni chaka la hiyo boot nipendeze, smart brainy lazima niwe na smart boot
  9. L

    Restaurant nzuri Dar es Salaam

    Wadau naulizia restaurant yenye chakula kizuri ninapoweza kwenda na mwenza kupata chakula cha mchana au dinner. Napendelea zaidi seafood, na itakuwa nzuri zaidi restaurant ikiwa maeneo ya beach. Bei isizidi sana 50,000 kwa mtu
  10. How powerful cartels ruined Nairobi's transport sector

    Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania...
  11. A

    Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

    Wasalaam wapendwa. Wakuu nataka kusafiri kwenda Mwanza basi gani nzuri inayoweza kunifikisha kwa siku moja tu, iwe luxury ya kisasa. Karibuni tujuzane wakuu
  12. S

    Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

    Wanasiasa wa upinzani wanapotoa maoni kwamba kuna vitu vya lazima na msingi zaidi kufanyika Dar es Salaam badala ya kujenga madaraja ya kupita juu ya bahari, huwa wanabezwa sana. Hatukatai hizi flyover zinasaidia sana kupunguza adha ya foleni Dar es Salaam lakini lazima tukiri kwamba flyover sio...
  13. GE2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli. Karibuni nyote. Rip Mwalimu Nyerere Up dates; DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE Katibu Mkuu...
  14. Miundombinu ya Dar es salaam imepitwa na wakati: Hali hii haiwezi kuendelea!

    Morogoro Road Jangwani Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala. Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam. Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya...
  15. Wananchi wa Dar es salaam tuipime CCM na viongozi wake kupitia mvua hizi zinazoendelea kunyesha

    Wakuu CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya...
  16. TANESCO mnaogopa nini? Tangazeni kuwepo kwa mgao au tatizo kubwa la umeme Dar es Salaam

    Habari wana JF, Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam. Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote. Huku Kimara leo hata siku...
  17. Chang’ombe flyover ni moto wa kuotea mbali, foleni ya gari zinazotoka Kamata na Karume kuwa historia jijini Dar es Salaam

    Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari. Sasa kwakuwa vyombo vya habari...
  18. F

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  19. Sababu kubwa zinazo pelekea sisi wa mikoani kufanikiwa Dar es Salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo.. Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi. Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
  20. GE2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

    Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…