Wakuu Nitapata wapi kiatu matata kama hiki hapa Dar es Salaam

Wakuu Nitapata wapi kiatu matata kama hiki hapa Dar es Salaam

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,428
Reaction score
139,482
0a61bd9e33e12e4c646d96a7e3da57f9.jpg
cd09575aad452c95c46488f58d77ed3a.jpg
c733b899d02eef937874f41bc53249bf.jpg

Nipeni chaka la hiyo boot nipendeze, smart brainy lazima niwe na smart boot
 
Duh nimehisi ni mzigo mzito miguuni ila kipendacho roho hula nyama mbichi.
 
Hiyo picha ya kwanza ndiyo viatu ninavyovielewa nilikua navinunua Ilala Boma. Hizo katandula zingine zitakuepo ila sijawahi kua attention nazo.
 
Hiyo picha ya kwanza ndiyo viatu ninavyovielewa nilikua navinunua Ilala Boma. Hizo katandula zingine zitakuepo ila sijawahi kua attention nazo.
ni vipya brand new au mtumba? walikuwa wanakupiga bei gani
 
Back
Top Bottom