How powerful cartels ruined Nairobi's transport sector

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
8,319
17,474

Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania aliyejimwambafai kuhusu Dar rapid transit.
 
Believe me hata mie sikuwa na time now ni baada ya kuanza kupitia blog zao nikagundua wana stereotype dhidi ya Tanzania. Hawa jamaa ukikutana nao cha kwanza huwa kujaribu kujikweza!
 
Nairobi was in need of serious leadership👌

And thats where the Nairobi Metropolitan Service steps in, led by General Badi from KDF

By the end of the year, Nairobi will have a commuter train service plys BRT and join the likes of Ethiopia in the region
 
Attachments

  • 117969722_767743690709892_5137053512879262585_n.jpg
    117969722_767743690709892_5137053512879262585_n.jpg
    48.9 KB · Views: 1
The whole line was being refurbished, hapa ni part ya Kibera
 
Attachments

  • 117995045_767745614043033_2583393835518382182_n.jpg
    117995045_767745614043033_2583393835518382182_n.jpg
    70 KB · Views: 1
Cant wait for the DMUs to be launched, halafu itakuwa supplemented by a BRT system kama yenu na pia matatu zetu.

Already wanatengeneza bus parks for the matatus outside cbd. Only the BRT buses will be allowed jijini🔥
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    9.4 KB · Views: 1
Believe me hata mie sikuwa na time now ni baada ya kuanza kupitia blog zao nikagundua wana stereotype dhidi ya Tanzania. Hawa jamaa ukikutana nao cha kwanza huwa kujaribu kujikweza!
kwani kuna kitu gani cha maana huko Tz zaidi ya Kenya?
 
Believe me hata mie sikuwa na time now ni baada ya kuanza kupitia blog zao nikagundua wana stereotype dhidi ya Tanzania. Hawa jamaa ukikutana nao cha kwanza huwa kujaribu kujikweza!
kwenye video yoyote inayosifia Dar es salaam au Tanzania, utawaona jamaa wakizengea kama fisi mbele ya mlo wa simba. Tena baadhi ya youtuber wameanza kutengeneza video nyingi za kuisifia Tanzania kama chambo, wakijua Wakenya watakuja kupinga na hivyo kuzidi kuongeza views..
 
Cant wait for the DMUs to be launched, halafu itakuwa supplemented by a BRT system kama yenu na pia matatu zetu.

Already wanatengeneza bus parks for the matatus outside cbd. Only the BRT buses will be allowed jijini🔥
Rejects at a cost of brand new!
 
Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania aliyejimwambafai kuhusu Dar rapid transit.

It has not only ruined Nairobi, but the entire country.
 
Back
Top Bottom