dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Rais Samia atoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wafanyabiashara kufuatia kuungua kwa soko la Kariakoo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko hilo. Kufuatia hasara kubwa iliyotokana na moto huo, Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi na...
  2. Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

    Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS. Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if...
  3. Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

    Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha. Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
  4. NEMC wasikamate tu mifuko ya plastiki; waangalie miundombinu ya mifereji Dar, wasingoje mafuriko ndio wamtafute mchawi

    Habari wada! Naomba nichukue nafasi hii kuwakumbusha hawa ndugu zetu wa NEMC hususa kipindi hiki cha kiangazi, kuangalia na kukagua miundombinu ya mifereji yetu ya jiji la Dar es Salaam. Naona NEMC wamekuwa kama wanazima moto vile kwenye baadhi ya mambo ambayo ni wajibu wao hususa miundombinu...
  5. C

    Dar es Salaam has big CBD than Nairobi but a tiny Nairobi CBD is more organized

    To be honesty dar CBD is huge and disorganized compared to Nairobi, Dar has many big and modern building however it's infrastructure can't match with it's building. Nairobi has tried to match it, wide roads no many hawkers, street vendors unlike Dar where the CBD is full occupied by them, no...
  6. Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

    Natambua kuwa TAWA ama Wizara ya Utalii ilizindua utaratibu wa uwindaji na uuzaji wa nyamapori kwenye baadhi ya mikoa kama Katavi, Dodoma na kwingineko. Naomba kufahamu kama huduma kama hiyo imeanzishwa mkoa wa Dar es Salaam. Nimechoka nyama za mbuzi, kuku, ng'ombe na kitimoto. Natamani kula...
  7. Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

    Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
  8. Mkoa wa Dar es Salaam ni mchafu; Amos Makalla fanya ziara kujionea

    Salaam Mkuu wa mkoa, Nikiwa mkazi wa Dar es Salaam hasa Ilala Jiji, nimeshuhudia kuendelea kuchafuka kwa jiji hili. Ulipoteuliwa nilipata matumaini ya mabadiliko hata kidogo. Hali ni mbaya; mitaro imeziba na karatasi zimesambaa sehemu nyingi. Jiji la Ilala na vitongoji vyake vinaongoza kwa...
  9. J

    Mwanaharakati Jane Magigita ajitosa kugombea Ujumbe Muwakilishi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuwakilisha Mashirika yasiyo ya Kiserikali

    Mfahamu mgombea nafasi ya mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO) mkoa wa Dar ES SALAAM Bi. Jane Magigita, Mwaka 2014 alitunukiwa tuzo ya MARTIN LUTHER KING AWARD kwa kupigania haki za kisheria za Wanawake. Tuzo hiyo ya haki ya Dk. Martin luther king, Jr...
  10. J

    Dar: Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa CORONA

    RC MAKALLA AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI DHIDI YA CORONA. Kufuatia kuwepo kwa Viashiria vya Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla* amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari* na kuziagiza Taasisi na sehemu zote za mikusanyiko kuweka ndoo za Maji na...
  11. P

    Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

    Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani. Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali. Majibu ya naibu waziri...
  12. ZPC Muliro: Mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwe Shilingi 2 Milioni.

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
  13. Raia atakayetoa taarifa ya mhalifu Dar kulipwa Mil. 2

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari...
  14. Rais Samia, tufuate utaratibu huu; jiji la Dar es Salaam litakuwa safi kila siku

    Nasema irudiwe na irudiwe tena na tena. Huyu mtalaam lazima atakuwa mwanaCCM kindakindaki maana haya ndo mawazo chanya ya wana CCM. Twende pamoja. CCM CCM CCM nimewaita mara tatu. Mpeni usajili huyu mwamba tena jezi namba 9 striker kabisa tumalize mechi zetu mapemaaaaa. ========= USAFI...
  15. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A, Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa Bunju A Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete document za serikali ya mtaa zipo Bado hakijapimwa Size 30*30 KUHUSU MIUNDOMBINU Umeme upo ni nguzo moja mpaka kiwanjani. Maji yapo. Kiwanja kiko barabara kuu iliyochongwa Bei...
  16. R

    Wote walioteuliwa aidha wanakaa ama wanatoka Dar es Salaam

    Hii inafikirisha sana. Hivi inawezekanaje jambo hili. Kwamba nchi nzima watu wenye uwezo kuongoza wanatoka au kukaa Dar pekee. Pia uteuzi umeshindwa kubalance makundi ya kijamii. Tunajua haiwezi kuwa balanced 100% lakini je haya makundi yatawakilishwa na nani maana ndio proportion kubwa ya...
  17. Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  18. H

    Magari ya kubeba mizigo kupeleka mikoani hupatikana wapi , Dar es Salaam?

    Naomba kuelekezwa magari ya kubeba mizigo kupeleka mwanza hupatikana maeneo gani kwa Dar. Na gharama zake zipoje?
  19. Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa Nchini

    Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amesema Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa nchini. Amesema kuna kata moja katika Jiji hilo la kibiashara ndio inaongoza kwa vibali vya kuruhusu watu kumiliki silaha na jambo linalomshangaza ni wahusika...
  20. Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama. Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…