Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Bunju A, Dar es Salaam

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,900
Kiwanja kinauzwa Bunju A

Kiwanja kiko bunju sehem inaitwa Kinondo kimepakana na kiwanja cha riziwan kikwete

document za serikali ya mtaa zipo

Bado hakijapimwa

Size 30*30

KUHUSU MIUNDOMBINU

Umeme upo ni nguzo moja mpaka kiwanjani.

Maji yapo.

Kiwanja kiko barabara kuu iliyochongwa

Bei 6mil.

IMG-20210620-WA0027.jpg
IMG-20210620-WA0028.jpg


Call us: 0683011003
 
Jamani hilo ni tangazo la biashara lazima liwe na mbwembwe, yule ni celebrity hivi imagine kwenye tangazo niseme napakana na tangana watu watauliza ndo mdudu gani😜😜😜
 
Saaa ningekuwa na pesa ningekichukuaaa.....kukaa karibu na huyo.....ushauwaga umasikiniii, mwendo WA kuandika project na kumrushia upande WA pili ...........au mnasemaje wakurugwaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom