Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

fatherhood

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
530
551
Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha.

Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
 
Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli nauli ya kwenda arusha .
Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha
Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal
Dah.... Kuna vitu so vya kuuliza...

"Nauli za Mabasi – Land Transport Regulatory Authority (LATRA)" Nauli za Mabasi – Land Transport Regulatory Authority (LATRA)

"Nauli za Treni ya Abiria Moshi – Arusha – Land Transport Regulatory Authority (LATRA)" Nauli za Treni ya Abiria Moshi – Arusha – Land Transport Regulatory Authority (LATRA)

"Air Tanzania | The Wings Of Kilimanjaro" Air Tanzania | The Wings Of Kilimanjaro
 
Nimetokea Dar juzi, nililipa Tsh 33,000 nikashukia Moshi. Ila ningeweza kukaa tu mpaka Arusha, nahisi ndio nauli yake hiyo. Ila ikitokea wakasema Tsh 33,000 ni mpaka Moshi, then mpaka Arusha unapngeza 3,000 inakuwa Tsh 36,000.
Kutoka Dar mpaka Moshi/Arusha nauli ni moja. Kama ni 33,000/- ukishuka Moshi au Arusha ni wewe tu. Hamna punguzo hamna nyongeza.

Kwa mleta mada, hiyo route ina magari mengi sana. Unaweza kupata hata gari la 22,000 ni ujanja wako tu.
 
Ukweli mkubwa huu,
 
Abiria ni wengi sasa hivi, hawapunguzi nauli.
 
Hii route ina gari nyingi, mimi huwa nasafiri kwa 22,000 hadi 25,000 Tsh tu
 
Back
Top Bottom