dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Dar: Daladala zatakiwa kuwa Level Seat, kutakuwa na ziara za kustukiza masokoni

    RC MAKALLA: UVAAJI BARAKOA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NI LAZIMA - Awataka LATRA kusimamia Level seat. - Aelekeza Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya kusimamia Utekelezaji wa Mwongozo wa Wizara ya Afya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari...
  2. Ukija Dar es Salaam hujaoa basi hutaoa kabisa kama usipoondoka

    Habari wakuu, Hii kitu sio utani kabisa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavosema, kwa kijana ambaye kakulia DSM katika ujana wake kuoa ni kipengele kizito sana, kuna kaka yangu toka nasoma shule ya msingi alikujaga DSM kusoma chuo, sasa alimaliza akapata kazi huko huko dsm, huwezi amini...
  3. Wizi kwenye Mataa ya barabarani

    Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga. Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma...
  4. Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

    Habari wadau..! Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho. Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza . Ila sasa nina familia...
  5. Car4Sale RAV4L Namba A inauzwa: Dar es salaam

    Haina tatizo lolote bei: 4.5 mil nipigie/sms 0625750755
  6. INAUZWA Kabati 2 za chipsi zinauzwa: Dar es salaam

    futi 4 kwa futi 3.4 loc: ubungo Laki 2 tu
  7. INAUZWA Pikipiki boxer bm 150 kwa 750,000: Tegeta Dar es salaam

    Boxer bm 150 namba B iko vizuri na inatumika hadi sasa engine haijawahi kushushwa kadi yake ipo biashara mnaandikishana mpaka kwa mwanasheria, polisi na serikali za mitaa haijawahi piga boda boda (private use only) ๐ฆ๐š๐ฅ๐ข ๐ฒ๐š ๐ฆ๐œ๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ค๐š๐ง๐ข๐ฌ๐š bei 750,000 dar es salaam.. ๐ญ๐ž๐ ๐ž๐ญ๐š ๐ค๐ข๐›๐š๐จ๐ง๐ข...
  8. Karibuni Dar es Salaam wageni mnaokuja kutafuta maisha na kufanya biashara

    Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda. Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu. Ukitaka ma...
  9. M

    Natafuta chuo cha Production Dar es Salaam

    Hellow, Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri? Hapa namaanisha mambo ya Media. Yaani kuna mtu alisoma mass communication lakini aka specialise kwenye uandishi wa...
  10. Biashara ya kuku wa kienyeji

    Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam. Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia.
  11. SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
  12. Narudia tena, Usafiri wa daladala hapa Dar es Salaam ni kwa ajili ya watu masikini

    Habari wanajukwaa! Natumaini hamjambo, Hii sio kashfa bali ni ukweli mtupu. Usafiri wa daladala hapa Dar ni kwaajili ya maskini. Vijana tutafute pesa huku tukimwomba Mungu atuepushe na Usafiri huu uliojaa karaha na kadhia. Haiwekani mtu una pesa zako usimame Kariakoo mpaka Mbagala, au...
  13. Dar: Polisi wataja namba za dharura kipindi cha Sikuu ya Eid Al Adha

    Dar es Salaam 19, Julai, 2021 JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA USALAMA SIKUKUU YA EID AL ADHA Jeshi la Polisi Kanda Maalum kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limejipanga kikamilifu kuimarisha usalama katika kipindi cha sikukuu ya Eid Al Adha...
  14. SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
  15. Tunapunguza vipi foleni jijini Dar es Salaam?

    Dar es Salaam ni Jiji lenye harakati nyingi sana ila foleni mjini imekuwa kero ukiunganisha na joto lilipo hapa. Je, tunafanya nini ili kupunguza foleni katika jiji hili maana kupanua barabara pekee sioni kama ni suluhisho la moja kwa moja Na tuna mkakati gani wa kuanza kuzuia majiji mengine...
  16. Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  17. Natafuta kazi yoyote, elimu yangu ni Form Four

    Natafuta kazi yoyote elimu yangu ni Form Four, napatikana Dar es Salaam, Kariakoo. Popote naweza kufanya uaminifu ni kipaumbele namba moja kwangu.
  18. K

    Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Habari za wakati huu mimi ni binti mkazi wa Dar es Salaam ila kwa sasa nipo kahama, katika harakati za kujikwamua nilipata msaada wa mtu akanambia kuna kazi ya mgahawa hapa kahama hivyo nije kuanza na makubaliano yote yalifanyika ila baada ya kufika kwa nauli ya kujichanga mtu yule hapokei simu...
  19. Naomba muongozo wa usafiri wa treni Mbeya - Dar es Salaam

    Heshima yenu wapendwa, Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage! Safari yenyewe...
  20. Rais Samia atoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wafanyabiashara kufuatia kuungua kwa soko la Kariakoo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko hilo. Kufuatia hasara kubwa iliyotokana na moto huo, Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ