Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU)...