Mule mule.
Lamine Yamal wa kuvundika.
Lamine Yamal wa bei ya jioni.Mambo ya adhuhuri
Yamali wa kuagiza kikuu, cheki unyade wa msimu ujao🔥View attachment 3588667
Mkali chukua mapema hii, msimu unaokuja tunakanyaga wavimba macho wote kibingwaMzee umenikumbusha enzi za AIG, nimewahi kuwa na uzi wa Man U, OG.
Huyo atakuwa YANINI JAMANI
Ila mwamba domo pua na uso vimebetuka kama yamal kabisa😅Huyo atakuwa YANINI JAMANI
🤣🤣🤣 watu mna maneno sanaLamine Yamal wa kuvundika.
Akili huna #Bange mbaya
Kala na bleach kabisa. Hii nchi ngumu sanaIla mwamba domo pua na uso vimebetuka kama yamal kabisa😅