Starehe ni sehemu ya maisha naomba nisinukuliwe popote pale vibaya kutokana na thread hii na maisha yangu ndani ya JF, Nimefunga safari kuingia dodoma, lengo ni kula maisha, kuenjoy, kufanya starehe.
Ni ngumu sana kuenjoy hapa dodoma, Bar zimekaa kiuchovu sana, Sijui shida ni hali ya hewa ya...