Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,618
- 3,084
Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World.
Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi wa Bandari ya ya Dar es salaam ni mbovu kupita maelezo yani haufai.
Naongea hivi nikiwa na experience za kutosha naijua bandari vizuri sana kuanzia, magate yote PM yard, TY yard, RORO yard, Marindi yari yani yard zote kila sehemu naijua mm mule mana nilikuwa kama mmoja ya wafanyakazi wa ile bandari nishafanya kazi bandarini kwa muda wa miaka zaidi ya 5 kuanzia 2016 mpaka 2021 naijua sana ile bandari in and out.
Nilifanya kazi pale katika kampuni yetu ile ya mkonge kampuni ya mkonge kwa walioniele wamenielewa na wanaijua kampuni ya mkonge ni kitu gani kazi yangu mm ilikuwa ni kukagua kontena na kuangalia usalama wa bandari na kama wale ma agent wamepakia mizigo mfano nguo zinafanana na za kampuni ya mkonge kazi yetu sisi ilikuwa ni kuzichukua hizo nguo na kuzipeleka mahali husika au kama vitu vinafanana na vya kampuni yetu kwaiyo ninavyoongea nafahamu nini nasema.
Ile bandari ila changamoto nyingi mno kwanza haina vifaa, yani paper use and manual work ni nyingi mno mizigo uchelewa sana na ufanisi ni mdogo mno.
Ufanisi wa kazi ni 0 yani 0 kabisa mfano pale RORO terminal ikisema RORO namanisha sehemu ya bandari ambapo gari zikitoka melini zinaifadhiwa hapo ndo uitwa RORO ukitaka toa gari lako aisee ni changamoto kama una gari 30 aisee utakesha kuzidi mifumo yao ya TEPP ni 0 kabisa yani hopeless mfumo mbovu sijapata kuona.
TEPP ni nini? huu ni mfumo wa bandari wa kukusanyia mapato huu mfumo ni 0 kabisa.
Track Annoucement huu mfumo wao nao pia ni 0 huu ni mfumo gani huu ni mfumo ambao utumika kutolea vibari vya kuingilia na kutokea bandarini huu mfumo aisee ni 0 mana huu mfumo ulivyosetiwa eti ikifika saa 6 usiku ni unaingia storage aijalishi umelipia saa ngapi hii hali upelekea ufanisi kuwa 0 naiekezea hapa chini.
Kuna siku wakati nipo operation zangu kule Bath no 8 kuna TICTS kuna kontena baridi LIFA contena zilikuwa zimefungashiwa vifungashio ambavyo ni vya kampuni yetu ya mkonge sasa tulitakiwa tukavitoe vile vifungashio alooo wale magent wakanza lalamika kwamba iyo siku wata ingia storage mana mzigo manifest unasoma TPA lakini physical upo TICTS nikawauliza ebu niekezeni kwann imekuwa hivyo wakanza nipa maekezo aisee nilichoka.
Ni hivi mzigo meli ili beth pale beth no 8 TICTS lakini ilitakiwa ubeth TPA kwa kuwa TPA hawana vifaa vya kutosha waka udirect TICTS mana kule vifaa ni vingi kwaiyo Physical upo TICTS ila manifest ya TRA upo TPA unatakiwa utoke TICTS ende ukatokee TPA gate no 3 kipindi iko sasa process ya kutoa mzigo hapo gate no 3 ni balaaa mana jamaa uyo agent alisema atalipia iyo siku storage na vingine saa 11 jioni ila anatakiwa awe fasta ametoa mzigo mana saa 6 usiku mfumo wao track announcement unajifunga.
Na Security ndo wamepewa dhamana ya kufungia huo mfumo kwaiyo anakuwa anaingia storage hii kitu ilinishangaza sana nikasema kwann iwe hivyo? yaani ulipie saa 11 jioni alafu saa 6 usiku wafungia eti ni siku mpya why iwe ivyo? kwanini wasiweke masaa 12 baada ya mtu kulipia invoice yake wakasema hata wao washaongea sana juu ya ilo nikasema nifatikie nione mana mm napenda sana jifunza vitu aisee nilivyofatilia nilichoka na hayo majibu.
Nakumbuka pindi iko Bwana MRISHO ni jamaa angu sana alikuwa ndo PRINCIPLE SECURITE MANAGER mtu poa dana muungwana sana now ni MKURUGENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM nikaenda muuliza alinijibu dah lakini majibu yake hayakunilidhisha nikaamua nipotezee tuu kiukweli ile bandari inatakiwa iboreshwe tena sana.
Mana tukiiboresha itakuwa vizuri zaidi lakini tuangalie na huo mkataba wa hao jamaa DP WORLD, Je unatufaaa? Wawe wawekezaji lakini wasitupe masharti magumu na ya hovyo tusikubali lakini tukubali vipengere vizuri sisi wa Tanzania tunufaike na wao wanufaike taifa lipate maendeleo.
Hivyo napendekeza ivyo vipengele vibaya vya kutaka peleka taifa pabaya vitolewe ili tupate maendeleo.
NB: Vitu vya kurekebishwa ni mfumo wa TEPP, TRACK ANNOUCEMENT na kule watu wa REVENUE BILLING, na RORO terminal nikimanisha waweke mifumo inayorahisisha kazi kwa muda mfupi sana kontena, mzigo au gari imetoka sio mlolongo mrefu kama nini.