damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Damu kuchelewa kuganda au kukata

    Habari zenu, mke wangu amekuwa akifanyiwa vipimo wanapo mchoma sindano kupata damu KWENYE mshipa damu I nachukua masaa mwili kukata, je itakuwa ni tatizo gani na je nini tiba yake kama ni tatizo?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aelewe Ukomo wa Madaraka siyo kwa wenzake tu hata yeye anahitajika kupisha Damu Changa

    Niendelee kutanguliza Msimamo wangu kuwa mimi pia ni Shabiki wa Lissu nakubali akili kubwa aliyobarikiwa,uwezo wa kujenga na kupangua hoja, Uwezo wa kusimamia anachokiamini hadi mwisho, Ujasiri, na hivi karibuni kanifurahisha aliposema hata akishindwa hatatoka CHADEMA ingawa kwa analysis...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kipi kilisababisha usihudhurie kwenye msiba wa ndugu yako wa damu?

    Mimi sikuhudhuria msiba wa mtoto wa shangazi yangu kwa sababu alikuwa shoga wa wazi wazi. Wahenga wengi mnamjua aliitwa Auntie Kessy alikuwa maarufu sana hapa mjini Daslam nyumbani kwa wazazi wake ni Tanga. Alipofariki ndugu zake wa kiume karibu wote hawakuhudhuria msiba . Wazazi wake...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Damu ya Hamza al Khatibu ilivyo nena Mei 2011 nakuanguka kwa utawala wa Assad

    Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan. Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia akiwa amecharangwa na umeharibiwa vibaya na maofisa usalama wa Syria baada yakuwa amekamatwa kwenye...
  6. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay machozi jasho na damu

    PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wafanya shambulizi katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.

    Wanaukumbi. ⚡️ Vikosi vya Al-Qassam: Picha za shambulio la tatu la kuvizia likilenga askari na magari ya adui karibu na makutano ya Burj Awad katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar. ========================= ⚡️ Al-Qassam Brigades: Footage...
  8. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

    Wakuu kama niliposema! Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu. Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote. Sijawai tokwa damu puani. Mkoa ni kigoma. Napata sana wasiwasi Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wapi
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kutoka damu kwenye uume

    Habarini Wana JF Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roho, damu na manung'uniko ya watu, vitajibiwa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025

    Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote unaomwaga damu za watu. Binafsi, naamini kwakuwa wanayafanya haya hasa wakilenga uchaguzi mkuu wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni bendera ya chama chenu, rangi nyekundu ni ishara kuwa mnataka nchi kwa kumwaga damu, hamtafanikiwa hadi siku ya kiama

    Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa

    Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Salam kutoka Marekani: Mkisikia nimerudi bila damu ni kwa sababu ya masuala kama haya

    Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi? Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kiu yao ya vurugu inayotokana na msukumo wa itikadi zao au hamasa binafsi inafanya nikumbuke quote hii katika movie ya The Dark Knight

    Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya: "Because...
  15. kwisha

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ugonjwa wa hypertension ( shinikizo la damu)

    Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida ) Uhatari wa ugonjwa huu upo...
  16. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kwa ufupi kifahamu kipimo cha damu cha 'Full Blood Picture'

    Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni kipimo cha uchunguzi wa damu ambacho hutumika kutoa taarifa muhimu kunako hali ya mgonjwa zinazosaidia...
  17. kwisha

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu juu ya upima wa shinikizo la damu

    Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha Siku moja Nikapima na mimi Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye 151/77 Nakapima Tena mara ya pili likawa lipo kwenye 133/ 80 Sasa imekuwa tabia yangu ya kupima...
  18. Mgaa gaa upwa

    JamiiForums Tanzania KERO Kausha damu Banc ABC wamekataa kutoa makato yao baada ya kuwalipa

    Wasalaam. Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika. Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great thinkers, niliwasiliana na BOT kweli baada ya weekend balance ya mkopo ikatoka ikiwa na limit ya wiki moja...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

    Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
  20. monotheist

    JamiiForums Tanzania Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

    Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
Back
Top Bottom