dada

Dada () or Dadaism was an art movement of the European avant-garde in the early 20th century, with early centres in Zürich, Switzerland, at the Cabaret Voltaire (c. 1916). New York Dada began c. 1915, and after 1920 Dada flourished in Paris. Dadaist activities lasted until c. the mid 1920s.
Developed in reaction to World War I, the Dada movement consisted of artists who rejected the logic, reason, and aestheticism of modern capitalist society, instead expressing nonsense, irrationality, and anti-bourgeois protest in their works. The art of the movement spanned visual, literary, and sound media, including collage, sound poetry, cut-up writing, and sculpture. Dadaist artists expressed their discontent toward violence, war, and nationalism, and maintained political affinities with radical left-wing and far-left politics.There is no consensus on the origin of the movement's name; a common story is that the German artist Richard Huelsenbeck slid a paper knife (letter-opener) at random into a dictionary, where it landed on "dada", a colloquial French term for a hobby horse. Jean Arp wrote that Tristan Tzara invented the word at 6 p.m. on 6 February 1916, in the Café de la Terrasse in Zürich. Others note that it suggests the first words of a child, evoking a childishness and absurdity that appealed to the group. Still others speculate that the word might have been chosen to evoke a similar meaning (or no meaning at all) in any language, reflecting the movement's internationalism.The roots of Dada lie in pre-war avant-garde. The term anti-art, a precursor to Dada, was coined by Marcel Duchamp around 1913 to characterize works that challenge accepted definitions of art. Cubism and the development of collage and abstract art would inform the movement's detachment from the constraints of reality and convention. The work of French poets, Italian Futurists and the German Expressionists would influence Dada's rejection of the tight correlation between words and meaning. Works such as Ubu Roi (1896) by Alfred Jarry and the ballet Parade (1916–17) by Erik Satie would also be characterized as proto-Dadaist works. The Dada movement's principles were first collected in Hugo Ball's Dada Manifesto in 1916.
The Dadaist movement included public gatherings, demonstrations, and publication of art/literary journals; passionate coverage of art, politics, and culture were topics often discussed in a variety of media. Key figures in the movement included Jean Arp, Johannes Baader, Hugo Ball, Marcel Duchamp, Max Ernst, Elsa von Freytag-Loringhoven, George Grosz, Raoul Hausmann, John Heartfield, Emmy Hennings, Hannah Höch, Richard Huelsenbeck, Francis Picabia, Man Ray, Hans Richter, Kurt Schwitters, Sophie Taeuber-Arp, Tristan Tzara, and Beatrice Wood, among others. The movement influenced later styles like the avant-garde and downtown music movements, and groups including Surrealism, nouveau réalisme, pop art and Fluxus.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Niffer: Dada mwenye mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

    Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili. Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM. Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29. Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM? Au kazi hii inaweza kumgharimu...
  2. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka kuhusu jane alipigwa risasi na mumewe dada yake bella afichua haya

    Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Dada zangu wapenzi, usichukue mkopo bila kumshirikisha mume wako pliz pliz wata kukweka

    Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu. Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka huyo nduki kwake akaone kunani, kufika watu wanabeba makochi sijui asset mbalimbali, kuuliza, JAMANI...
  4. JamiiForums Tanzania NAMPENDA SANA MALAIKA CUTEE, NAVUTIWA NAE SANA♥️ NIFANYEJE NIMPATE HUYU DADA,

    Wakuu nimeshajaribu kurusha verse insta hollaaaa nipeni mbinu wazee wa town, bajeti yangu laki tatu cash wakuu hata kwa one night stand hata kuoa nipo tayari wakuu
  5. JamiiForums Tanzania Haiti hiyo nchi isha jifia, marekani waingilie kati kwa hao watekaji waliomua vibaya huyo dada kwa mapanga

    Asee hili swala dunia ipige kelele. Ester Tomas, maarufufu nice b anasakwa na polisi akidaiwa kuhusika, alie katwa mapanga anaitwa baby love
  6. JamiiForums Tanzania ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

    Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla. Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao, anakula nao , na kuwafanyia masaji. Mbali na hayo yote, jux kwa sasa anatamba na mke wake aitwaye...
  8. JamiiForums Tanzania Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

    (Temporary post) Kwa wakazi wa Dar. Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe. Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likizo Yageuka Msiba: MCA Aspirant Ken Barasa na Dada Yake Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Mombasa

    Safari ya starehe katika pwani ya Mombasa imegeuka msiba baada ya Ken Barasa Okomol na dada yake Cynthia Barasa kufariki wakati boti waliyokuwa wakisafiria ilipopinduka baharini. Ken, 38, aliripotiwa kuwa mwaniaji wa kiti cha MCA Malaba South, Busia, huku Cynthia akiwa na miaka 33. Wawili hao...
  11. JamiiForums Tanzania Jumapili ya leo naomba nitoe elimu kuntu, adimu sana huwezi ipata popote pale kwa Dada zetu na wamama watarajiwa.

    Mwanamke anapokuwa katika hedhi, anapaswa kuepuka kuwakasirikia watoto wake, vinginevyo watakuwa wakaidi sana. Mwanamke anayetokwa na damu hapaswi kumpiga mtoto wake, vinginevyo mtoto atakuwa maskini sana maishani, hata kuolewa itakuwa vigumu sana, na watakuwa wapumbavu sana shuleni...
  12. JamiiForums Tanzania Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    . Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi. Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit...
  13. JamiiForums Tanzania Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

    Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi? Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town. Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni. Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado...
  14. JamiiForums Tanzania Dada yangu kipenzi Rais Samia, bila kuwa sawa na CHADEMA utaendelea kutawala kwa tabu mno

    Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki Binafsi, kwa nia njema...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi:, Rais Dr samia wetu,na Dr.Nchimbi,wapo pamoja na wanawasiliana kwa jina la kaka na dada kila siku.

    Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff. ""INAITWA CHENGA YA MWILI""
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeamka na siku njema sana leo, niko free, shemeji kaniachia funguo za sebreni, dada kaniongezea mkwanja wa kutanua kwa zena leo. Karibuni

    Muwe na weekend njema wakuu. Msikatae asili zenu, kwanini nijifanye taita humu JF kama wengine? Mdada yoyote karibu kwa zena kuanzia saa kumi ,haijalishi una makebo makubwa au lah, karibu, drinks on me Mmoja nishatumia nauli anakuja👇
  18. JamiiForums Tanzania Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

    Ukifuatilia vizuri watu wenye taabu fulani maishani ndio hutumia sana pombe ili wasahau uchungu walio nao moyoni ili wajiliwaze. Uzuri ni kwamba biblia imetufunulia yote katika: Mithali 31: 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Machawa Majinga Fulani Kumkufuria Kaka, Akayapuuza kwa Kuyanyamazia Aka..., Sasa Yameanza Kumkufuria Dada!, Ayapuuze, Ayanyamazie au Akemee?.

    Wanabodi, Angalizo. Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama wewe ni simple mind, ukajisikia unawashwa washwa kutaja majina, nakuomba jifanye great mind kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

    Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level... Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…