Dada wa barbershop wanahitajika Arusha

Dada wa barbershop wanahitajika Arusha

MMASSY

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
293
Reaction score
198
Tunatafuta wadada wa kuhudumia wateja katika Barbeshop yetu iliyopo Olasiti,Arusha.

Sifa zinazohitajika

 Awe smart na mwenye muonekano mzuri
 Awe anajua kufanya scrub,Massage ya Kichwa na shingo
 Awe msafi na anayejitambua
 Awe mchangamfu na anayejua kuongea vizuri na wateja
 Muaminifu,mtii na anayejituma
 Mwenye kufahamu huduma na bidhaa zinazotolewa na barbershop
 Ushirikiano mzuri na wafanyakazi wengine

Mshahara na marupurupu mengine ni makubaliano.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0724 560 600 Piga simu au ujumbe wa Whatsapp.
PXL_20260611_142109624~3.jpg
 
Back
Top Bottom