Kwa mwezi mzima, USA ilikua na kesi 15 tu, walidhani wako salama na wameishinda corona!
Siku 22 za kwanza, Italy walikua na kesi tatu tu!!, walidhani wako salama!!!!
Siku 21 za kwanza, Egypt walikua na kesi 3 tu, walidhani hali iko sawa!!!
siku 26 za kwanza, Spain walikua na kesi 7 tu...