Habarini za asubuhi wanaJF. Namshukuru mungu kwa kutupa uzima kuiona siku ya leo.
Siku miamoja za rais Samia amejitahidi kuonesha mwanga zaidi, kuhusu namna ya kupambana na ugonjwa wa corona.
Nikiri wazi kua, Tanzania tuna bahati ya kupata viongozi wazuri, wenye maono na wanaoendana na Nyakati...