#COVID19 WHO yaonya kuhusu wimbi jipya la maambukizi barani Ulaya

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ulaya, Hans Kluge amesema Wimbi jipya la Maambukizi haliwezi kuepukika ikiwa Wananchi na Viongozi hawataendelea kuwa na nidhamu

Wiki iliyopita maambukizi mapya yaliongezeka kwa asilimia 10 ambapo baadhi ya vichocheo vilivyotajwa kusababisha hali hiyo ni mikusanyiko, safari na kulegezwa kwa kanuni za watu kuchangamana kwenye Jamii

=====

A 10-week decline in new coronavirus infections across Europe has come to an end and a new wave of infections is inevitable if citizens and lawmakers do not remain disciplined, the head of WHO in Europe, Hans Kluge, told a news briefing on Thursday.

Last week, the number of new cases rose by 10%, driven by increased mixing, travel, gatherings, and easing of social restrictions, Kluge said.

"This is taking place in the context of a rapidly evolving situation. A new variant of concern - the Delta variant - and in a region where despite tremendous efforts by member states, millions remain unvaccinated," he said.

"There will be a new wave in the WHO European region unless we remain disciplined," he added.

Source: Reuters
 
Acheni hizo wajameni,
Mbona hao asilimia 75 wameshachanja?
Mungu anawaona mujue, ohoooo
Hizi chanjo zinatia shaka sana, lengo la chanjo ni kuzuia kabisa ugonjwa lakini hizi za corona unachanjwa lakini bado unaweza kupata ugonjwa sasa unajiuliza kwanini wasije na dawa tu baada ya chanjo? Pengine hawa conspiracy theorists kama David Icke wako sahihi kuhusu huu ugonjwa ndomaana wanaminywa.
 
"Wiki iliyopita maambukizi mapya yaliongezeka kwa asilimia 10 ambapo baadhi ya vichocheo vilivyotajwa kusababisha hali hiyo ni mikusanyiko, safari na kulegezwa kwa kanuni za watu kuchangamana kwenye Jamii."

Hayo mambo Bongo ndio kawaida.
 
Back
Top Bottom