Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 435
- 1,048
Mimi kuna siku nilishuka kwenye boda na helment kichwani nikapitiliza nayo kwenye daladala, ile nimekaa nashangaa kila mtu ananiangalia tu ndo mmoja akaniuliza mwenzetu vipi na helmet kichwani, nilishtuka sana 😢
Pale ndo nikajua kuwa nina mawazo
Pale ndo nikajua kuwa nina mawazo