code

In communications and information processing, code is a system of rules to convert information—such as a letter, word, sound, image, or gesture—into another form, sometimes shortened or secret, for communication through a communication channel or storage in a storage medium. An early example is an invention of language, which enabled a person, through speech, to communicate what they thought, saw, heard, or felt to others. But speech limits the range of communication to the distance a voice can carry and limits the audience to those present when the speech is uttered. The invention of writing, which converted spoken language into visual symbols, extended the range of communication across space and time.
The process of encoding converts information from a source into symbols for communication or storage. Decoding is the reverse process, converting code symbols back into a form that the recipient understands, such as English or/and Spanish.
One reason for coding is to enable communication in places where ordinary plain language, spoken or written, is difficult or impossible. For example, semaphore, where the configuration of flags held by a signaler or the arms of a semaphore tower encodes parts of the message, typically individual letters, and numbers. Another person standing a great distance away can interpret the flags and reproduce the words sent.

View More On Wikipedia.org
  1. KishkwambiX

    JamiiForums Tanzania Kwanini programming code ni shida?

    Tanzania nchi yetu hakika programming imekuwa shida haswa kwa vyuo vyetu shida ni nn? Walimu wabobezi hatuna au watanzania wagumu kufikiri?
  2. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kuitest simu kama ni original au fake

    Habari za usiku wakuu... Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.. Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu.. Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

    Asalam aleykum! Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza noti ya elfu kumi iwekewe QR code

    Je, nini yatakuwa manufaa / hasara za kuweka QR code kwenye noti za BOT? ========================= https://www.jamiiforums.com/threads/je-nchi-kuchapisha-pesa-zake-nje-ya-nchi-ni-sahihi.1877297/ =========================== ==========================
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Code alizonipa mzungu zimenisaidia kuona mwanga wa mafanikio yangu na familia yangu hapo baadaye

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza nianze kusema kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliozaliwa katika familia ya maisha ya kati, sio familia tajiri wala masikini. Pilika pilika za hapa na pale, zilinifanya nihamishie maisha yangu Kaburu ili kuweka mambo fulan sawa. Nikiwa Kaburu...
  6. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Ninashindwa kufikia menu ya M-Pesa

    Ndugu wanajopo, Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu inafunguka. Lakini, kuanzia jana mambo yamegeuka, kanakuja kabox kanachohitaji nijaze "carrier info." Hiki...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua swift code ya NMB Bank naomba msaada.

    Habari wakuu Nahitaji swift code ya benki ya NMB .Inasomeka NMIBTZTZ. Hiyo character ya tatu ni namba 1 au ni herufi I ? Napiga namba zao za customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu!
  8. Titus3652

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu whatsApp yangu,Nashindwaa kupata verification code

    Wakuu nashindwa kupata verification code ya whatsap shida ni nini naombeni msaada wenu.
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtataalamu wa kutengeneza QR Code zenye taarifa zote muhimu

    Namhitaji mtaalamu ambae nitafanya nae kazi, nitamlipa kwa kila QR Code moja atakayokuwa anaitengeneza. Tafadhali nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please header files source code sizielewi

    Habari wadau hope mpo poa Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H conio.H math.H iostream nk hizo ni preprocessor ambazo zinadefine in built in functions like...
  11. Simeone

    JamiiForums Tanzania Template Blogger: Nisaidie kuset hizi code

    Wakuu nitawekaje limit ya maneno katika posts kwenye hii blogger template <?xml version="1.0" encoding="UTF-8" ?> <!DOCTYPE html> <html lang='en-US' xmlns='XHTML namespace' xmlns:b='http://www.google.com/2005/gml/b' xmlns:data='http://www.google.com/2005/gml/data'...
  12. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ni kanuni ipi inaongoza maisha yako? The code we live by. Hii hapa nadharia yangu ya kila kitu

    Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa: Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
  13. Jitume Biashara

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  14. Gentleman96

    JamiiForums Tanzania Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ............... (retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. .. Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
  15. Candela

    JamiiForums Tanzania Postcode na Utata wake

    Wanasema shamba la bibi hauhitaji ruhusa kuvuna. Leo nimepokea ujumbe wa SMS kuhusu postcode, ikinitaka kubonyeza *152*00# ili kuona posti kodi yangu. Ajabu ni kuwa postcode hii ni sawa na iliyotumika katika NIDA, najiuliza kwa serikali itumie pesa kufanya jambo ambalo tayari lipo katika mfumo...
  16. MJENGA

    JamiiForums Tanzania "Fujo Isiyoumiza" Ni Code Name au nini maana yake kiusalama

    Kuna mtu anajiita "Bongo Zozo" na kaulimbiu yake "Fujo Isiyoumiza". Binafsi huyu mtu ananitatiza sana. Anafanya akili yangu iwaze na kuwazua beyond its ordinary scope. Hivi huyu Bongo Zozo ni nani haswa? Ana mission gani hapa nchini? Ni mzalendo kweli kwa nchi yetu ama ametake cover ili aweze...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuopen source code files in android

    Habar wadau Mdogo wenu bado nakimbizana na mambo ya programming huku sasa nataka nirahisishe mambo kuna mda nadownload source code files in my phone naziextract vzr tu sasa kuna mafile yenye source code yanaishia na extensions km vile .c,.c++,.h.lib,.py, .vb nk Nikitaka kuopen haya mafile ili...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PHP project nawezaje kurun php code ioneshe website na sio index of site?

    Habari wadau !! Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusoma, kurun na ku compile code ambayo nimedownload

    Habari wana jamii Forum Mimi bado najifunza coding sijaiva sana wala sio mtupu nimejifunza vitu vingi sana katika coding na nashukuru mungu mambo yanaenda vizuri sasa katika kujifunza nikaona itakuwa vyema km nikianza kudownload code za watu na kuzipitia ili niwe na ufahamu mpana zaidi maana...
  20. Nijosnotes

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
Back
Top Bottom